Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

aisee naona we ndo mtunzi wa hayo maneno ,acha utumwa wa fikra,usinipime ufahamu wangu hunijui sikujui period.
Neno 'muktadha rasmi' ni kiswahili ila litamtesa sana kuelewa ni nini achilia mbali akina quantum na probabilistic!
 
Jibu swali langu?
Nilishakuambia what i intended to mean..

Time doesnt exist is just an illusion
Wewe hujui hata kujieleza, hujui tofauti ya "kiumbe wa kwanza" na "mtu wa kwanza".

Ndiyo maana unakuja na habari za "what I intended to mean".

Sasa hata sasa nitajuaje hicho ulichoandika ndicho ulicho intend kuandika au unajiparaganyikia tu kama mwanzo?

Nijibu swali lako lipi ambalo unaona sijalijibu?

Nilichokiandika hapo mwisho umekielewa?

Unaniuliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?

Nakwambia, swali lako halina mantiki, wimbo wa taifa hauna rangi.

Unarudia kuniambia nikujibu swali lako?
 
Umejikita kwenye minajili ya Biblia.

Na mimi nakujibu kwa minajili hiyo hiyo.

Katika Biblia, mimea ilianza kuumbwa, wakaja wanyama, halafu ndiyo akaumbwa Adam.

Kwa hiyo, hata tukienda kwa minajili hiyo, Mwafrika si kiumbe wa kwanza, kwa sababu hata Adam si kiumbe wa kwanza.

Hata kama nikikubali habari zako za Biblia, ambazo sizikubali.

Bible Gateway passage: Genesis 1 - Good News Translation

Genesis 1

Good News Translation

The Story of Creation

1 In the beginning, when God created the universe,[a] 2 the earth was formless and desolate. The raging ocean that covered everything was engulfed in total darkness, and the Spirit of God was moving over the water. 3 (A)Then God commanded, “Let there be light”—and light appeared. 4 God was pleased with what he saw. Then he separated the light from the darkness, 5 and he named the light “Day” and the darkness “Night.” Evening passed and morning came—that was the first day.
6-7 (B)Then God commanded, “Let there be a dome to divide the water and to keep it in two separate places”—and it was done. So God made a dome, and it separated the water under it from the water above it. 8 He named the dome “Sky.” Evening passed and morning came—that was the second day.
9 Then God commanded, “Let the water below the sky come together in one place, so that the land will appear”—and it was done. 10 He named the land “Earth,” and the water which had come together he named “Sea.” And God was pleased with what he saw. 11 Then he commanded, “Let the earth produce all kinds of plants, those that bear grain and those that bear fruit”—and it was done. 12 So the earth produced all kinds of plants, and God was pleased with what he saw. 13 Evening passed and morning came—that was the third day.
14 Then God commanded, “Let lights appear in the sky to separate day from night and to show the time when days, years, and religious festivals[c] begin; 15 they will shine in the sky to give light to the earth”—and it was done. 16 So God made the two larger lights, the sun to rule over the day and the moon to rule over the night; he also made the stars. 17 He placed the lights in the sky to shine on the earth, 18 to rule over the day and the night, and to separate light from darkness. And God was pleased with what he saw. 19 Evening passed and morning came—that was the fourth day.
20 Then God commanded, “Let the water be filled with many kinds of living beings, and let the air be filled with birds.” 21 So God created the great sea monsters, all kinds of creatures that live in the water, and all kinds of birds. And God was pleased with what he saw. 22 He blessed them all and told the creatures that live in the water to reproduce and to fill the sea, and he told the birds to increase in number. 23 Evening passed and morning came—that was the fifth day.
24 Then God commanded, “Let the earth produce all kinds of animal life: domestic and wild, large and small”—and it was done. 25 So God made them all, and he was pleased with what he saw.
26 (C)Then God said, “And now we will make human beings; they will be like us and resemble us. They will have power over the fish, the birds, and all animals, domestic and wild,[d] large and small.” 27 (D)So God created human beings, making them to be like himself. He created them male and female, 28 blessed them, and said, “Have many children, so that your descendants will live all over the earth and bring it under their control. I am putting you in charge of the fish, the birds, and all the wild animals. 29 I have provided all kinds of grain and all kinds of fruit for you to eat; 30 but for all the wild animals and for all the birds I have provided grass and leafy plants for food”—and it was done. 31 God looked at everything he had made, and he was very pleased. Evening passed and morning came—that was the sixth day.
Kwahiyo Adam ni binadamu wa kwanza? Si kiumbe?
 
.
IMG_20200613_225256_804.JPG
 
Sisi sio watu wa dunia ya tatu,sisi ndo wazazi wa dunia na maarifa ,ila vizazi vyetu vilituibia urithi wa mababu zetu,tukasahau asili yetu wakatumia maarifa yetu kuwarubuni ambao hawana urithi wa maarifa ,kuwatala na kuwadanganya ndo chain yote inakuja hadi sasa.
Yaaani wakati sisi tunalala mapangoni na kwenye mashimo wenzetu tayari walikuwa na technology yakusafiri kutoka ulaya kuja Africa alafu unatudanganya kuwa wao ndio walituibia tecnologia ,kama walikuja kuchukua nguvu za Giza naweza kuamini
 
Aisee elimu yahitaji moyo
Yaaani wakati sisi tunalala mapangoni na kwenye mashimo wenzetu tayari walikuwa na technology yakusafiri kutoka ulaya kuja Africa alafu unatudanganya kuwa wao ndio walituibia tecnologia ,kama walikuja kuchukua nguvu za Giza naweza kuamini
 
Nimekumegea kidogo tu soma hapoView attachment 1478088

Unafikiri what went wrong mpaka civilization ya blacks ikafall down na white ikawa juu if at ol we had advanced civilization compared to that of whites??

Is it possible upo advanced interms of everything then ukawa conqured na the less one??

Give us yo understandings what made a fall of our ancient civilization if at ol we had already developed into higher one..

Make tusiwe tunakubali kuwa tulikuwa hivi na hivi lakini hatuweki reason behind ya sisi kufall if at all tuliwazid na kuwadoninate hao watu!!!
 
Kiumbe asie na faida! Kama sasa hivi limetulia tu kama zuzu linasubiri chanjo ya Corona igunduliwe na wazungu then liirukie!
 
Mkuu ni history ndefu sana ,naweka kitabu usome taratibu

Ninavyo ila mb kubwa nashindwa upload... download volume 1 mpaka 3
Nenda.
pdfdrive.com

Thank me later
FB_IMG_1591489360712.jpeg
 
Mkuu pitia hapo
Unafikiri what went wrong mpaka civilization ya blacks ikafall down na white ikawa juu if at ol we had advanced civilization compared to that of whites??

Is it possible upo advanced interms of everything then ukawa conqured na the less one??

Give us yo understandings what made a fall of our ancient civilization if at ol we had already developed into higher one..

Make tusiwe tunakubali kuwa tulikuwa hivi na hivi lakini hatuweki reason behind ya sisi kufall if at all tuliwazid na kuwadoninate hao watu!!!
IMG_20200614_115640_329.JPG
 
mkuu unaweza summerize kwa mistari 5 why blacks are behind interms civilizatios and why blacks wapo nyuma now.. try to summerize nina maana yangu kwanini nimeuliza hilo swali...

unaweza soma volume 1 mpaka 3 na bado mtu asielewa nili kilitokea mpaka civilization yetu ikafa if at all blacks dominated the advanced civilization..

Sijui unanielewa ? try kusummerize kwa mistary 5 then i will tell you something..

if you can not summerize the contents it meens the whole volume 1 upto 3 hujaelewa kitu..
 
Mkuu hii ni historia ndefu sana kuanzia kutumia hemispheres za ubongo wa binadamu kati ya western na afrikanas na pia nikuwa walichofanya nikuwa haiwezekani weusi waanzishe civilization na kuwa na historical ancestors pili wao asili hawana zaidi ya kupindua ukweli ...wakawachukua vizazi na kuwatumikisha kwa kutumia njia zetu za maarifa
mkuu unaweza summerize kwa mistari 5 why blacks are behind interms civilizatios and why blacks wapo nyuma now.. try to summerize nina maana yangu kwanini nimeuliza hilo swali...

unaweza soma volume 1 mpaka 3 na bado mtu asielewa nili kilitokea mpaka civilization yetu ikafa if at all blacks dominated the advanced civilization..

Sijui unanielewa ? try kusummerize kwa mistary 5 then i will tell you something..

if you can not summerize the contents it meens the whole volume 1 upto 3 hujaelewa kitu..
IMG_20200614_133039_061.jpeg
 
1.uwezo wa kufikiria wa mwanadamu mweusi hutumia left sided hemisphere unashirikiana na nature katika minajili ya kiroho na kupata ufumbuzi kwa vyote vimzungukiayo,ila western hupromote right sided inayodeal na kusoma sana na wekeza katika kutafuta asili na hawatumii minajili ufumbuzi kwa kutumia njia za kiroho kama ancestors zetu.
2.ubaguzi wa rangi,wivu wa maendeleo na aibu ya wao kutokuwa na nafasi katika ulimwengu kuanzisha civilization yeyote zaidi ya kuiga kwa mwafrica.
3.miaka 6000bc ukiangalia mabara yote yalikuwa uncivilised na hata amerikana palikuwa na red indians too ambao ni link ya wahindi weusi asia,nikimaanisha people shifted africana a long time ago after civilization started na kwenda kuendeleza sehemu zingine duniani.
4.vizazi vya 1900s ndo waliokuwa watumwa na sisi tulikuwa civilised 6000 bc tushajua mathematics,science,astronomy ,pyramids,religion and evil,na kingine hata chombo cha kwanza duniani cha kuhesabia ambacho ni abbacus kiligunduliwa 5000 bc kule kemeti ambapo sasa wanapaita misri.
5.tafuta muda soma taratibu mkuu

5.tafuta muda soma taratibu mkuuView attachment 1478306

mkuu, sio kwamba sijawahi soma hizo documentaries au pdf books xplaining kuhusu civilization ila the problem inakuja how comes the most civilized iwe controlled na waliokuwa chini ??

sijui kama unanielewa hapa...
kuna kitu kinafichwa why we felt down if at all you believe kuwa we had advanced civilization

Swala la kusema sijui wakatufanya tuwe slaves and so on haileti sense hata kidogo...
Kaaa ufikilie wew umekuwa na maisha mazuri na unadai una akili nyingi then aje mwingine akiteke akili na kukugeuza kuwa mtumwa wake ,huoni kuwa yule mtu ana akili kukuzidi wewe?!!! sasa kwa ushauri tu go and dig more juu ya kwanini vitabu vingi vya civilization vinasifia sana black race kuwa tulikuwa more civilized kuliko whites then tafuta hidden and unclassified documents zinazoelezea shifting of the continents ndo utaelewa kwanini tulijikuta tupo empty headed kabisaa kwenye mambo ya civilization...na kama huafiki basi jiulize inawezekanaje the most advanced one wapindukiwe na hao wenye uelewa mdogo sasa hapo huoni kuwa kuna kitu kimefichwa..??

sijui unannielewa ....??
Tunakalia kulaumu tulikuww tuna akili and so on then what went wrong??

Kwanini mpaka leo hatujabadilka ?

There is something what made changes juu ya hii kitu and needs to be xplained more in details ..
 
Kiumbe asie na faida! Kama sasa hivi limetulia tu kama zuzu linasubiri chanjo ya Corona igunduliwe na wazungu then liirukie!
Kwani corona imeanzia kwetu au sisi ndo tulioleta? mpak uwe na jazba hivyo.. eti tutafute tiba ilipoanzia ndo huko huko watafute chanjo wajitibu. si tunapeta tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom