MWAFAAA: Chuo kikuu cha Teofilo Kisanji chalia ukata, mshahara wa Januari wapigwa danadana

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
fe60008a9d365d3c83f08186131719e1.jpg
 
Hizi barua hazina tofauti na mafuriko feki ya Lowasa kwa sababu yote hutengenezwa na IT ya ufipa.
 
Hizi barua hazina tofauti na mafuriko feki ya Lowasa kwa sababu yote hutengenezwa na IT ya ufipa.
Huyu ni vuvuzela aliyesajiriwa 2016. Na alishakuwa programmed juu ya maneno ya kuongea. Lazima kila sentensi yake iwe na neno Lowasa, Mbowe, Chadema, Majizi nk. Tafuteni thread zake zoote mtaona.
 
Naona hz barua/memo zinashika kasi kweli, sasa kitu kimeandikwa Internal Memo sijui JF kinatafuta nn......
 
Hehehehehehe ,haloooooooooooooo oooooo
Uncle Magu hapo uliposhikilia ongeza kidogo,kama sasa hivi watu wanatoa ushuzi basi watoe haja kubwa kabisa..Twende baba,twendeeeee, tulekaaaaaaaaa
Capture.PNG
 
Dalili za mdororo wa uchumi zinaonekana dhahiri.
Idadi kubwa ya teuzi za Madaktari Phd na Maprofessa wanafeli vibaya.Ni hopeless kwa uchumi na ustawi wa Taifa.Wamebaki kuwa matela.
 
Hapa ni kwamba private sector zimeminywa zaidi. Wanafunzi wengi wameenda public institutions kwa sababu serikali imetaka hivyo na wale waliopo private ni kwamba serikali haijapeleka pesa za mikopo yaani tuition fees.
Yaani private sector itateteleka kisha na government itateteleka zaidi. Serikali lazima itekeleze budget yake, itakwama. Hakuna spending.
 
Ina maana wanafunzi hawalipi ada?? Au kuna sehemu nyingine inatoka hiyo mishahara?
 
Huyu ni vuvuzela aliyesajiriwa 2016. Na alishakuwa programmed juu ya maneno ya kuongea. Lazima kila sentensi yake iwe na neno Lowasa, Mbowe, Chadema, Majizi nk. Tafuteni thread zake zoote mtaona.
Huyu kichaa hana thread hata moja, yeye anachofanya ni ku-copy na ku-paste kwenye upuuzi aliouhifadhi kwenye kifaa chake anachotumia kuperuzi jf. Huyo jamaa ni laana tupu. Mpuuzeni. Profile yake inaonesha ni mtu mwenye umri mkubwa ila ni zero brain.
 
Hawa chadema watu wa ajabu sana,

Wanamtuma Lowasa kwenye mikutano ya kampeni akisimama anawaomba wananchi wachague wagombea wa ccm kwa kura nyingi.
Alafu baada ya matokeo bavichaa wanashangaa kwa nini wameshindwa!!!!

Shame on you
 
Back
Top Bottom