Mwacheni Rais Magufuli afanye kazi tuliyompa, ila kwa hili hapana

House of Commons

JF-Expert Member
Oct 1, 2013
2,077
1,994
Mi mwanachi wa kawaida kabisa, sina cheo popote pale wala sina mlengo wa siasa za chama chochote hapa nchini. Pia nifanye personal declaration, I like Rais Magufuli, I admire his strictness for national issues and performancefor achievements.

Nilimfahamu Rais Magufuli nikiwa form 2 in 1990, good fortune, shule niliyosoma nilikuta yeye ameshamaliza shule na kutoka hapo. Lakini baadae alirudi pale shuleni kuomba kura mwaka huo huo kipindi anaomba ubunge na akichuana na marehemu Kabuye kwenye jimbo la Biharamulo kipindi hicho kabla ya jimbo hilo kugawanywa na kupata Biharamulo Magharibi na Mashariki ambayo ndio Chato kwa sasa.

Bahati nzuri kwangu, kipindi cha Mwl Nyerere nilikuwa grown up already, Kwa Mwinyi, Mkapa na Kikwete nimepaona though kwa uelewa wa mambo ya siasa katika level tofauti tofauti.

Rais Magufuli is the Best president ever, he is the best though he cannot reach the satisfaction of every body in the country. He is strict and determined, he is focused and has a non compromising power character. Unaweza kuona namna ambavyo anaibadilisha nchi kwa haraka zaidi. Fikiria tu habari ya kukatika umeme huko kweye tawala zingine, fikiria ilivokuwa hali mbaya kwenye barabara za vijijini, fikiria hali ilivokuwa mbaya mahospitalini, kwenye ofisi za serikali nk. Mi sio mtaalam wa statistics, lakini things are visible, countable and touchable.

Haya hapana

Rais Magufuli, otherwise tuseme labda anaongozwa na personal behavior na sio presidential characteristics and morals. Freedom of expression haipo vizuri, almost forbidden to opposition parties and individual personalities that would want to substitute ideas. perspectives and outlooks.

Just one thing, give people every thing they want, BUT the most important to them is freedom. Hili ndilo tatizo peke yake. Had it been that Rais Magufuli leaves freedom of speech, leaves other opposition parties to practice their political activities freely, he would be not only a good president but also a handsome one. Hata hivo, Rais Magufuli has nothing to loose, hata kama angewapa wapinzani freedom, hawawezi kumshinda hata siku moja. Yale ambayo amefanya tu kwa kipindi hiki cha miaka minne, inatosha kwa mwenye akili timamu kufahamu wapi nchi hii inakwenda ukilinganisha na kule tulikotoka.

Jambo moja ambalo huwa nashangaa, wananchi tumekosa nidhamu. Acha iwe hivyo anavyofanya. Sio jambo dogo kwa mtu wa kawaida, na hata kama we ni kiongozi anywhere kutoa au kuandika maneno ya kumdhalilisha rais. Can you do that even to your step father? achilia mbali baba yako wa kukuzaa. People should look good ways to pose their ideas to leaders. Just go through social media and see how people nick name the president, see how people play their childish languages to satire the president's personality and other even photoshop his image. It is much demoralizing and frustrating the president's personality and loyalty. Mimi nasema let him do what he does and let us bless it ili akili utukae sawa

Tumwache Rais afanye majukumu yake
 
Kosa la Rais Magufuli ni lipi?

Je ni kujenga Bara bara kuunganisha mikoa yote?

Je ni kupeleka umeme kila kijij?

Je ni kusomesha wanafunzi bure?

Je ni kufufua shirika la ndege ?
 
Back
Top Bottom