Mw/kiti BAVICHA wilaya ya Arusha apigwa na Green guard

CCM, watch your steps. If you are tired of peace you maye well go to Iraq or Afaghan
 
Safi sana, wangemtegua mkono tu kama nanihii


Jana nimesikiliza hekaheka clouds fm, kuna shoga kaolewa na jamaa kwa miaka 7 sasa ndoa imemshinda. Anataka kutoroka sababu ya vipigo.
Mnafanana sana na huyo shoga. Mtakuwa mnaishi wote magomeni!?
 
Mw/kiti wa BAVICHA wilaya ya Arusha mjini amepigwa vibaya sana na kikundi cha green guard ambacho kikochini ya CCM..tukio hilo limetokea mchana huu akiwa anaelekea kwenye kampeni huko Engototo ambapo kuna kampeni zinaendelea kwaajili ya kumchagua diwani wa kata hiyo uchaguzi utakao fanyika tarehe 2-10-2011, Edero Edero ni mratibu wa kampeni hizo kwa upande wa chadema, Odero odero pamoja na mgombea wa kata hiyo Bw. Maganga walitekwa na vijana hao waliokuwa na rav 4 nyeupe kwa bahati nzuri Maganga alifanikiwa kuwa toroka na kwenda kutoa taarifa polisi ndipo polisi walipo anza kufanya msako wa kumtafuta Odero pamoja na watekaji walifanikiwa kumkuta Odero pori moja huko Engototo akiwa hoi huku watekaji hao wakiwa wamechukua makabulasha yote...

Hawa jamaa ni zaidi ya jeshi................... lengo ni kuwathibiti Upinzani
View attachment 101772View attachment 101773 View attachment 101774
 
Ukweli hauna tabia ya kujificha kwa mantiki kwamba hauna aibu, hatimaye picha hizo hapo juu zinathibitisha ukweli kwamba green guards wa CCM ndiyo chanzo cha chuki na ugomvi baina ya vijana nchini!
 
mnawachokoza wenyewe, mkiguswa tu mnaanguka na kulalama ovyo. Nyi ni makamanda wa wapi kila cku kulalamika. Hamuoni hata aibu. Ni ngumu kuwapa nchi watu kama nyie. Kama vp lianzisheni basi sio kulalama kiboyaboya tu.
 
Mimi naanza kupiga jaramba hata pekeyangu home kabla hawajaanza rasmi.....
 
Back
Top Bottom