Mvuto wa CHADEMA kwa wananchi utaiangamiza CCM-Dk Bana

Huwezi kuipenda ccm kama una akili timamu!
Ka
ma ni maiti sawa.

yaap umenena vyema....baya zaid uwa nasnanga mtu yeyote mwenye umri kuanzia miaka 18-50 anayeshabikia huwa simuelewi.


Wana JF nawaambia kuwa na idadi kubwa ya wana ccm katika nchi hii ndiyo chanzo cha ufukara tanzania. no more no less
 
Hayo ni maoni yake. Ukweli CCM imeenea nchi nzima; pwani hadi bara, mashariki - magharibi, kaskazini - kusini

Hata chama cha Kenneth Kaunda kilienea kila sehemu Zambia lakini walikichoka pamoja na kuwa kiliwaletea uhuru pia CCM pamoja na kuenea nchi nzima lakini siku yao ikifika wataondoka na kukiachia chama kingine kutawala nchi hii.
 
Huyu jamaa ni mnafiki sana! Nakumbuka siku moja katika kipindi This week in perspective almost a month now, yeye aliungana na Chiligati kuponda upinzani na kusifia CCM kwamba upinzani wako weak na haoni chama bora kwa sasa ambacho ni mbadala wa CCM!
Shame on you!
 
Hayo ni maoni yake. Ukweli CCM imeenea nchi nzima; pwani hadi bara, mashariki - magharibi, kaskazini - kusini
Pole sana ndugu yangu MAFILILI! kumbuka MFA MAJI HAACHI KUTAPA.
Hata kama CCM ingeenea mpaka chini ya ardhi, haisaidii!
Mwisho wenu ndio huu! hamna ujancha tena!!!
 
Huyu jamaa ni mnafiki sana! Nakumbuka siku moja katika kipindi This week in perspective almost a month now, yeye aliungana na Chiligati kuponda upinzani na kusifia CCM kwamba upinzani wako weak na haoni chama bora kwa sasa ambacho ni mbadala wa CCM!
Shame on you!

Ur right guy! huyu jamaa ni kigeugeu wa kutosha,widely a pupet!
 
Hayo ni maoni yake. Ukweli CCM imeenea nchi nzima; pwani hadi bara, mashariki - magharibi, kaskazini - kusini[/QUOT
Kuna mzuri gani mabayo CCM Kimewafanyia watanzania yatazidi yale ambayo Gaddaf aliwafanyia wananchi wa Libya lakini mwisho wa siku alionekana hafai sembuse nyie CCM.
 
Naamini hii ni kauli ya mtu mwenye jicho la kiutafiti, nampongera dk. Bana
 
Nape haamini kama Millya kwenda kuondoka ni sababu ya mvuto wa CDM, kwahiyo Bana anataka kutuambia Nape hana akili?
 
Bana ni kama mwimbaji wa bendi ya muziki,kaona bendi yake inakosa mashabiki anaanza kunyemelea bendi inayowika,
2015 tutatuwa na Ma Dr. na Maprof vijana wengi,wazee wanafiki kama hawa ni kuwapumzisha wabaki kamadi za ukoo,hana jipya kabisa
 
nadhani ccm niliichukia hata kabla sijazaliwa. Ninaposkia mtu anaitetea...hadi mwili unatetemeka kwa hasira. Hivi hzi roho za choyo, dhuluma, roho mbaya, unafki, na kukosa upendo kwa wengne ztawafksha wapi ccm?
 
Ukishaanza kusikia mpaka mtu mnafiki kama Bana ameamua kukiri hadharani basi ujue hali imekuwa mbaya sana mpaka ameona bora aseme ili asionekane hajui kitu. Yeye ni baadhi ya washauri wa Rais ambao wana hangover ya chama kimoja ambao wanaweza angalau kwa shida sana kukiri ukweli huu wa mabadiliko yaletwayo na chadema. Hawa ndio walikuwa wanapika takwimu za uwongo ili CCM iendelee kubaki madarakani na yeye afaidike na uwizi unaondelea nchini. Lakini baada ya kuona kabisa rais aliye madarakani ameshinda kiutata na bado mwamko wa wananchi ndio unazidi kushika kasi kupita M4C inabidi atoe kauli kama hizi za kinafiki japo roho inamuuma.
 
Naona mpaka Dr.Bana naye amechanganyikiwa na M4C. Kunakipindi alikuwa anatoa tathimini za ajabuajabau huku akiibeba CCM. Sasa ameshindwa kuipaka mafuta mafuta CCM kwa mgongo wa chupa. Wamegundua hata wasiposema wao, mawe yataelezea ilivyo.

Umenena mkuu.Hakuna msomi na mchambuzi anayenitia kinyaa nchii hii km DR.BANA. Ilikuwa inatia kinyaa a PhD holder tena wa Political Science anayefanya uchambuzi wa kijinga na hata mtu ambaye hajaenda shule anamshangaa. Ilifika mahala nikahisi huyu Bwana anafanya makusudi ili apate vyeo vya upendeleo kutoka kwa wakubwa. Nafurahi mpk sasa hajapata pamoja na unafiki wake. Anyway km amebadilika ni ishara njema. Vinginevyo km anataka aendelee kuibeba CCM lkn ukweli ni kwamba CCM ya sasa haibebeki.
 
Hayo ni maoni yake. Ukweli CCM imeenea nchi nzima; pwani hadi bara, mashariki - magharibi, kaskazini - kusini

Kwani chama cha kikomunist cha USSR kilienea mpaka wapi na sasa kiko wapi? Anayelala usimwamshe maana ukimwamsha utalala mwenyewe.
 
Dk. Bana ndoo unafanya nini? ungewanong'oneza CCM !!!!!!!!!! unamwaga mchele kwenye kuku wengi!!!!!! aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Bana bwanaaaaaaaaa vipi?

Sawa inaweza kuwa ni kweli mioyo mizito sasa ndio imekuwa tangazoooooooooo
 
Wanaojuwa kusoma alama za nyakati kam Dr. Ban wameshaona ila kuna wabishi..na hii ndiyo iliyosababisha haya yote kudharau baadhi ya viongozi na wananchi. sasa hivi ninyi ccm ndo wapinzani
 
MMM si muelewi huyu Bana??????????????????????????????????????????????? kuliko majibu, yeye ni mshauri wa magamba?
 
Back
Top Bottom