Mvuti pakoje kibiashara, kilimo na maisha kwa ujumala?

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
4,941
6,187
Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama Chanika?

Je bado ni mashambani? Je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?

Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona.

Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naona kama mbali ukilinganisha na Chanika.

Kiwanja nimefidiwa hivyo ni ngumu kukikataa.
 
Sio porini sana ni vizuri wewe mwenyewe ukafika oneo la tukio ujiridhishe
Screenshot_20210820-225308_Maps.jpg
 
Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama chanika?
Je bado ni mashambani, je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa ?
Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona. Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naons kama mbali ukilinganisha na chanika.
Kiwanja nimefidiwa hivyo ni ngumu kukikataa.
Kichukue ni pazuri ardhi ina rutuba asili ya kutosha
 
Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama chanika?
Je bado ni mashambani, je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa ?
Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona. Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naons kama mbali ukilinganisha na chanika.
Kiwanja nimefidiwa hivyo ni ngumu kukikataa.
Miaka 11 iliyopita niogopa kuchukuwa kiwanja kuanzia maeneo ya Pugu Kinywezi hadi Chanika kwa sababu ya mapori na hakikua na nguzo ya umeme. Nilishia kuchukuwa eneo Pugu Kajiungeni
Lakini kwa Sasa hayo maeneo niliyo kataa ni kizuri zaidi.
Mvuti kwa Sasa pechamgamka kiasi na e upo, Jenga tu nyumba utanishukuru baadaye.
 
Naomba watu wamvuti mnipe uzoefu pakoje, je pamejengeka kama chanika?
Je bado ni mashambani, je kiwanja naweza kukitumiaje kibiashara kabla ya kujenga?
Ukijenga nyumba ya kupangisha inalipa ?
Nimepata uwanja bado sijaenda kuuona. Alienda ndugu yangu kukabidhiwa. Bado naons kama mbali ukilinganisha na chanika.
Kiwanja nimefidiwa hivyo ni ngumu kukikataa.
Niliambiwa kwamba watu wa Mvuti sio watu wa maendeleo na sababu niliyopewa ni kwamba umeme ulifika Mvuti kabla ya Chanika ila cha ajabu ni kwamba Chanika pamechangamka zaidi ya Mvuti
 
Niliambiwa kwamba watu wa mvuti sio watu wa maendeleo na sababu niliyopewa ni kwamba umeme ulifika Mvuti kabla ya Chanika ila cha ajabu ni kwamba Chanika pamechangamka zaidi ya Mvuti
Siyo ukweli, Chanika imwpata umeme kabla ya Mvuti, barabara ya Chanika - Mvuti - Mbagara nimeipita Sana naenda kanisani. Nguzo za kupeleka umeme Mvuti zilitandazwa kutokea Chanika.
 
Wewe uko wapi kwa sasa, ningeshauri ukaende upaone mwenyewe physically. Kwanza Sasa hivi hata kupata.kiwanja ni shida!
 
Siyo ukweli, Chanika imwpata umeme kabla ya Mvuti, barabara ya Chanika - Mvuti - Mbagara nimeipita Sana naenda kanisani. Nguzo za kupeleka umeme Mvuti zilitandazwa kutokea Chanika.
Yawezekana ikawa hivo kwenye umeme ila hapakunishawishi hata kidogo....... Nimepita mara ya mwisho mwez wa 6 , mwez wa 4 nilishuka kupaangalia kulivo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom