ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,532
- 44,648
Nimewahi kuvuta sigara karibia aina zote kuanzia Ubalozi, Sportsman ile OG na ya SM, nikajaribu jaribu na CLUB na Winston na safari kiukweli hazina ladha yoyote wala hakuna kiu ya sigara wani haikuwahi kunifanya niwe addicted.
Lakini nilichogundua wavutaji wengi hawawezi kuacha kwa kuwa mara anapoishika tu sigara mkononi basi hujisikia fahari sana anajiona kama ni boss fulani au ni mtu mashuhuri mwenye kutoa maagizo.
Lakini nilichogundua wavutaji wengi hawawezi kuacha kwa kuwa mara anapoishika tu sigara mkononi basi hujisikia fahari sana anajiona kama ni boss fulani au ni mtu mashuhuri mwenye kutoa maagizo.