Mvulana wa miaka sita achinjwa mbele ya mamake wakienda kuhiji huko Saudi Arabia kisa ni Shia

Kwa hiyo iondolewe alafu ibaki hii inayoongozwa na wachungaji na mapadri mashoga na wafiraji au unaongelea dini ipi! Au zote ziondolewe zote!?
Ngoja kwanza ziondolewe na nani BTW

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wafirj unao wasema angalia hata hapa kwetu wamejaa maeneo gani? Kisha angalia dini iliyotawala maeneo hayo..utapata jibu

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
inamaana mtu ukiambiwa kiongozi wa dini flani ni shoga ndo hiyo dini yooote hai fai,,,,yani kwa maovu ya mtu mmoja tu,,sio kweli,,,
,,,,ni mtu na maovu yake mwenyewe,,,,
 
Huyo kijana wa miaka sita ndio huyo binti kwenye picha? Na vp kuhusu mama ake hakuwa shia?
 
nimeandika nikafuta , nikaandika tena nikafuta , nikafuta weee mpaka karatasi imechanika
 
Back
Top Bottom