Mvulana wa miaka 17, afanyiwa upasuaji ili kupunguza uume wake

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,205
Mvulana mmoja amefanyiwa kile madaktari wanasema ni upasuaji wa
kwanza wa kupunguza uume wake.Kijana huyo wa miaka 17 alikuwa akilalamika kwamba hangeweza kushiriki katika tendo la ngono ama hata kushiriki katika michezo swala lililomshinikiza kuomba kupunguzwa uume wake.Kabla ya kufanyiwa upasuaji huo uume huo ulikuwa na
urefu wa nchi 7 na ukubwa wa nchi 10.


Daktari wa upasuaji Surgeon Rafael kutoka chuo kikuucha Florida kusini ambaye alifanya upasuaji huo aliliambia gazeti la mail online kwamba ''kuna wakati ambapo kila daktari wa upasuaji hupata ombi la maajabu linalokuwacha kinywa wazi.''Swali hilo ni Je, unaweza kuufanya uume wangu kuwa
mdogo''?

Kwa wale waliohitaji kufanyiwa upasuaji huo, uume wao haui mkubwa wakati unapodinda bali huwa mgumu.Daktari huyo alisema kwamba wengi hufanyiwa upasuaji wa kukiongeza kiungo hicho na wala si kukipunguza.Kijana huyo alifanyiwa matibabu hayo na kumaliza matatizo yake.
 
Ushahidi please, kama wengi walivyodadisi. Jina la huyo kijana, daktari wake na hospitali. Inakuwa ka "kusadikika"
 
Habari yako ina dalili zote za UONGO, na kama ni kweli ungetuonesha picha ya huyo dogo, jina la hospitali na huyo daktari na tarehe ambayo ombi au upasuaji huo ulifanyika.
 
Kwamba kipenyo cha hiyo kitu ni cm 10
Ooopssss huyo dogo ni almasi mchangani Sema tu hajui
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom