Mvua zinazoendelea

Che Machemba

Member
May 17, 2019
12
5
Mvua zinazoendelea kunyesha zitupe funzo kuwa tunapaswa kujiandaa kwa majira mbalimbali ya mwaka,hii ni kutokana na kile kinachoonekana kuwa bado kuna ombwe la "maandalizi" ya kukabiliana na hali mbalimbali za kimazingira,mathalani unakutana na akina Mama/Dada wamebeba watoto bila hata kuwa na nguo nzito zinazowakinga hali ya ubaridi katika kipindi hiki cha mvua.

Wakati mwingine unakutana na watu wamevaa sandals ilihali wanajua kuna mvua na hali ya barabara zetu huwa na maji machafu yenye tope chafu,wengi wao wakiwa Madada/Makaka wenye muonekano smart kiasi unajiuliza wanafeli wapi?.

Ni wakati muafaka sasa kutumia mvua hizi zinazoendelea kunyesha kama somo la kujiandaa kuzikabili badala kuziona kama laana juu ya maisha ya binadamu.
 
Mi nasubiria wale wataalam wetu wabobezi watakavyotuambia namna upepo kutoka misitu ya kongo ilivobadilisha mwelekeo na kuyashambulia mawimbi katika bahari ya Hindi na kupelekea mwenendo wa kasi ya kimbunga cha joanah kubadili mwelekeo kutoka Sudan ya Kusini hadi Mashariki ya Tanzania hasa maeneo Ya Mkwajuni na Mbagala Kuu...

Hii ndio maana hali ya hewa ikabadilika ghafla toka ukame hadi mvua za masika
 
😂😂😂😂

We mzee hebu niacheee
 
Vigezo na masharti ya kusummarize kuzingatiwa

Subiri tumalize usaili kama utakuwa umepita lazima nikutunuku
Waambie basi jamaa wamwage material mengi nifanye tafsiri ya harakaharaka... nimechoka kusubiri utunukishwaji ujue...
 
Waambie basi jamaa wamwage material mengi nifanye tafsiri ya harakaharaka... nimechoka kusubiri utunukishwaji ujue...
Kabla ya jumatatu tunaweza kuwa tumemaliza

Location ya usaili nitakutegemea wewe
 
Kabla ya jumatatu tunaweza kuwa tumemaliza

Location ya usaili nitakutegemea wewe
Basi sawa....

Usaili na uendelee... lokesheni sio tatizo kabisa. Mazingira yanaruhusu na haka kamvua

1101036
 
Back
Top Bottom