Mvua ya samaki ina maana gani kisayansi?

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,711
11,971
Wanasayansi mtalielezeaje tukio hili lililotokea Thailand ambako mvua imenyesha na kudondosha samaki pia toka angani..... Mlizoea barafu kudondoka toka juu. Sasa samaki wamenyesha sambamba na mvua toka angani...

13006665_1132910566742651_1391299290452783719_n.jpg

12987095_1132910180076023_5436325122140830769_n.jpg
12985509_1132910473409327_2584233231830966148_n.jpg
 
"Picha duka"
 
mkuu labda ungetupa chanzo cha habari
 
Actually sio mvua ya samaki, bali ni kimbunga ambacho kimezoa samaki sehem flan na kuja kuwatupa sehem nyingine!

Ni kama vzile mvua zenye upepo mkali zinazoezua mabati, kama upepo ukiwa mkubwa sana inaweza beba mabati ya kijiji kizima na kwenda kuyatupa sehem nyingine, the same principle hapo imeapply kwa hao samaki.
 
Hii issue ni uzushi. Watu wamekuwa wanasambaza habari bila hata kujua chanzo au undani wake.

1. Baadhi ya picha zinazosambaa za samaki waliojazana barabarani hawahusiani na mvua,kuna lori lilikuwa na 19k tonnes za samaki,ila kwa bahati mbaya mlango ulifunguka samaki wakamwagika wengi tu road,na kwavile lilikiwa speed sana ilichukua muda kusimama hivyo samaki walitapajaa wengine tu barabarani.

2. Picha zingine zimetolewa ktk series ya fargo( season 1) kwa wale wanaoijua hii series,kuna muda ilitokea mvua ya samaki,samaki wengi wakazagaa barabarani na mitaani wakisabisha ajari.

Fish rain?? Hakuna kitu kama hicho wakuu.
 
Maelezo yako yameshiba
 
Actually sio mvua ya samaki, bali ni kimbunga ambacho kimezoa samaki sehem flan na kuja kuwatupa sehem nyingine!

Ni kama vzile mvua zenye upepo mkali zinazoezua mabati, kama upepo ukiwa mkubwa sana inaweza beba mabati ya kijiji kizima na kwenda kuyatupa sehem nyingine, the same principle hapo imeapply kwa hao samaki.
Yes, hiki ni kimbuga kinacho wasomba smaki kutoka baharini na kuwatupa nchi kavu, hii inaitwa SUPER NATURAL.
 
Back
Top Bottom