Mvua ya ajabu Gairo

Baharia huo mguu ni wako??
osha huo mguu kwa hayo maji hapo kwenye ndoo.
😅
Imebid nirudi kuangalia mguu vzuri😅😅
Huo mguu sasa🤣🤣🤣🤣

Kwa ujumla hiyo mvua ipo sehemu nyingi kuanzia jana, wengine wakahisi labda kuna moshi angani huku maeneo yetu.

Inawezekana inatokona na moshi wa ule moto mkubwa uliokumba Australia siku za karibu
Guu La Nsajigwa Yule Mchezaji Wa Zamani Wa Yanga
😅😅😄😄😄😂😁😁😀
 
Hewa ukaa
MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.

Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.

Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?

View attachment 1332925

Jr
 
Hiyo misitu mnayochoma Moshi unaopaa angani ni huwa ni mweusi. Mnategemeaje mvua kuwa nyeupe ?
 
Ushamba unawasumbua huo weusi ni matokeo ya gesi chafu zinazochafua mazingira ya ozone. Ukisikia athari za tabia nchi ndio Kama hizo sasa usishangae sana .
 
Tunajuaje kama siyo ndoo yako chafu.
MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.

Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.

Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?

View attachment 1332925

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jipige kifua kwa mkono wako wa kulia, kisha sema Ee Mungu tuonee huruma.
images.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are right, Any rainwater is already naturally acidic (CO2 itself is slightly acidic) na ni harmless unless it's carying abnormal amount of CO2 ( as atmospheric concentration of CO2 increases). Kwa hiyo hii mvua itakuwa more acidic na yenye madhara kwa binadamu na viumbe vingine.

PS. I am not an expert.
ama kweli Wazazi hawakupoteza ada hapa.
 
MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.

Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.

Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?

View attachment 1332925
Ungeanza kutaka kujua mvua ni nini. Ni kitu gani kinachosababisha mvua kunyesha. Ukifahamu hilo, itakuwa rahisi kuelezwa chanzo hayo maji kuwa na rangi hiyo.
 
MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.

Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.

Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?

View attachment 1332925

Kama huo Mguu unaoonekana hapo ni wako na huo Uchafu wake basi acheni tu hiyo Mvua ya Maajabu inyeshe tu huko Gairo.
 
Back
Top Bottom