Mvua ndo imeanza kumwaga leo usiku wa tar 4

Kremme

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
471
494
Baada ya kuwa patupu dar es salaam kwa siku zilizotabiriwa mvua ie 31/10 mpaka tar 3/11 , Naona mzigo ndo umeanza kumwaga leo usiku wa kuamkia tar 4/11.
Tutegemee yafuatayo
*Mafuriko
*Mwendokasi kupita njia za uchochoroni
*Dart jangwani kujaa
*Dart kusitisha huduma
*umeme kukatika
*abiria kupungua barabarani
*foleni barabara zote za dar
*wagonjwa kupungua mahospitalini
 
Heheee..na hivi imeambatana na upepo..haiwezi kuacha baadhi ya maeneo salama..
 
Poleni kweli jamani.

Niliondoka Dar miaka mingi sana lakini bado nakumbuka mitaa. Hivi pakiwekwa daraja toka faya mpaka mapipa (Magomeni) la kubeba kila kitu (mwendokasi, magari, n.k.) si lingekuwa jawabu zuri?

Mkoa wa Dar unaweza kushughulikia ukarabatishaji wa bonde la Msimbazi kwa wakati wao?
 
Baada ya kuwa patupu dar es salaam kwa siku zilizotabiriwa mvua ie 31/10 mpaka tar 3/11 , Naona mzigo ndo umeanza kumwaga leo usiku wa kuamkia tar 4/11.
Tutegemee yafuatayo
*Mafuriko
*Mwendokasi kupita njia za uchochoroni
*Dart jangwani kujaa
*Dart kusitisha huduma
*umeme kukatika
*abiria kupungua barabarani
*foleni barabara zote za dar
*wagonjwa kupungua mahospitalini
Wewe lala.bwana au umetoka disco inakunyea mvua?
 
Baada ya kuwa patupu dar es salaam kwa siku zilizotabiriwa mvua ie 31/10 mpaka tar 3/11 , Naona mzigo ndo umeanza kumwaga leo usiku wa kuamkia tar 4/11.
Tutegemee yafuatayo
*Mafuriko
*Mwendokasi kupita njia za uchochoroni
*Dart jangwani kujaa
*Dart kusitisha huduma
*umeme kukatika
*abiria kupungua barabarani
*foleni barabara zote za dar
*wagonjwa kupungua mahospitalini
Hakutakuwa na mvua ya kuleta hayo yote ndugu.
 
Baada ya kuwa patupu dar es salaam kwa siku zilizotabiriwa mvua ie 31/10 mpaka tar 3/11 , Naona mzigo ndo umeanza kumwaga leo usiku wa kuamkia tar 4/11.
Tutegemee yafuatayo
*Mafuriko
*Mwendokasi kupita njia za uchochoroni
*Dart jangwani kujaa
*Dart kusitisha huduma
*umeme kukatika
*abiria kupungua barabarani
*foleni barabara zote za dar
*wagonjwa kupungua mahospitalini
Gesti house kujaa
 
Wagonjwa kupungua hospitalin???Hapa sijaelewa???
 
Wagonjwa kupungua hospitalin???Hapa sijaelewa???
Wanaoenda kutibiwa hospital kipindi cha mvua ni wale tu wanaoumwa serious, 50% ya watu waendao hospital si wagonjwa bali ni wana stress tu za kimaisha
 
Back
Top Bottom