Mvua ndo imeanza kumwaga leo usiku wa tar 4

Hii mvua inayomwagika Tanga mida hii subiri kwenye vyombo vya habari kupata mrejesho! Maana dah sio ya zama hizi...ni mvua ya hasira!
 
Hii mvua inayomwagika Tanga mida hii subiri kwenye vyombo vya habari kupata mrejesho! Maana dah sio ya zama hizi...ni mvua ya hasira!
Hii mvua ni balaa aisee,nimekaa hapa hostel haipungui hata kidogo
 
Baada ya kuwa patupu dar es salaam kwa siku zilizotabiriwa mvua ie 31/10 mpaka tar 3/11 , Naona mzigo ndo umeanza kumwaga leo usiku wa kuamkia tar 4/11.
Tutegemee yafuatayo
*Mafuriko
*Mwendokasi kupita njia za uchochoroni
*Dart jangwani kujaa
*Dart kusitisha huduma
*umeme kukatika
*abiria kupungua barabarani
*foleni barabara zote za dar
*wagonjwa kupungua mahospitalini
Umesahau vyumba vya wageni kujaa watu
 
Jamani DART jangwani kunapitika? Maana nipo ubungo hapa nataka nielekee upanga
 
Back
Top Bottom