View attachment 334647
Mawasiliano ya barabara kwa magari yatokayo Dodoma kwenda Morogoro na Dar yamekatika kutokana na mvua kubwa Dodoma.
Magari yamesimama kijiji cha chalinze 'nyama choma' Dodoma, barabara imefunikwa na maji tangu alfajiri.
View attachment 334656 View attachment 334647
Mawasiliano ya barabara kwa magari yatokayo Dodoma kwenda Morogoro na Dar yamekatika kutokana na mvua kubwa Dodoma.
Magari yamesimama kijiji cha chalinze 'nyama choma' Dodoma, barabara imefunikwa na maji tangu alfajiri.
Huku mtaa wa swaswa nyumba zaidi ya 10 zimeanguka. Kuna watu zaidi ya 50 hawana makazi. Viongoz wa serikali hawaonekani.
Nilitaka kukujibu kama Mkuu wa Wilaya ya Kahama.JENGENI NYUMBA BORA.Huku mtaa wa swaswa nyumba zaidi ya 10 zimeanguka. Kuna watu zaidi ya 50 hawana makazi. Viongoz wa serikali hawaonekani.
Sio kila mwananchi ana uwezo huo.Na nyingine ni nyumba bora ila zimejaa maji.Nilitaka kukujibu kama Mkuu wa Wilaya ya Kahama.JENGENI NYUMBA BORA.
Chang'ombe kuna usalama kweli?Huku mtaa wa swaswa nyumba zaidi ya 10 zimeanguka. Kuna watu zaidi ya 50 hawana makazi. Viongoz wa serikali hawaonekani.
Vipi hapo kwa Mzee wa Swaswa kumesalimika?.Huku mtaa wa swaswa nyumba zaidi ya 10 zimeanguka. Kuna watu zaidi ya 50 hawana makazi. Viongoz wa serikali hawaonekani.
Poleni sana na hizo mvua. Jambo la muhimu zisilete madhara zaidi.Chatumkhizo mvua post: 15769652 said:Ila Kiukweli hata hapa dom mjin mvua usiku imetwanga kisawasawa