Mvua kidogo maji tele barabarani Dar

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
1,195
Mvua imenyesha hivi punde, barabara nyingi tayari zimeshajaa maji.
 

Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,809
0
tena usipime, maana wengine tumeshindwa kutoka town shauri ya maji kujaa roads...mambo ya miundombinu hayo
 

Gad ONEYA

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,633
1,195
hivi ile mifereji ya wachina iliyofumua barabara za katikati ya jiji hazikufua dafu au ufis...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom