Mvua inyeshe, jua liwake, Singida Mashariki hatuitaki CCM

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
CCM kupitia vibaraka wake( mabeberu na wavurugaji wa siasa ya kidemokrasia nchini) wamesha panga njama za kufanya uchaguzi wa marudio jimboni mwetu , Mimi kama mkaaji wa jimbo hili napenda kuwa tahadhirisha CCM waache kabisa ushamba wa siasa, Singida Mashariki hatuja lalamika popote kuwa tunakosa mambo Fulani ya kimaendeleo kwa kukosa muwakilishi bungeni.

Na badala yake bado tuna tafakari kitendo alichofanyiwa ndugu yetu cha kutaka kuudhulum uhai wake.

Mpaka leo tuna shangaa hata walio husika hawajakamatwa na kisingizio wanachotoa ni cha kitoto kabisa kwamba wamekosa ushirikiano toka kwa Lissu, huu ni umbweze.

Ccm endeleeni kupanda mbegu za chuki kwa wananchi kwa manufaa ya kujaza matumbo yenu.

Niwazi kabisa kuwa kwa mipango yenu ya kidhalimu uchaguzi utarudiwa na sisi kama wana Singida tunasema hatuitaki ccm.
 
CCM kupitia vibaraka wake( mabeberu na wavurugaji wa siasa ya kidemokrasia nchini) wamesha panga njama za kufanya uchaguzi wa marudio jimboni mwetu , Mimi kama mkaaji wa jimbo hili napenda kuwa tahadhirisha ccm waache kabisa ushamba wa siasa, singida mashariki hatuja lalamika popote kuwa tunakosa mambo Fulani ya kimaendeleo kwa kukosa muwakilishi bungeni.
Na badala yake bado tuna tafakari kitendo alichofanyiwa ndugu yetu cha kutaka kuudhulum uhai wake.
Mpaka leo tuna shangaa hata walio husika hawajakamatwa na kisingizio wanachotoa ni cha kitoto kabisa kwamba wamekosa ushirikiano toka kwa Lissu, huu ni umbweze.
Ccm endeleeni kupanda mbegu za chuki kwa wananchi kwa manufaa ya kujaza matumbo yenu.
Niwazi kabisa kuwa kwa mipango yenu ya kidhalimu uchaguzi utarudiwa na sisi kama wana Singida tunasema hatuitaki ccm.
Hili litadhihirishwa na kura sio mikwara yako.
 
aibu kwako, chama cha kijamaa kitakuwaje na mahusiano na ubeberu? ubeberu upo kinondoni kule kwenye ofisi pagala hivyo usipindishe huu ukweli.

tatiz
 
Muwafanyie hivi wanaccm wakipita ndio dawa yao.
CCM nguvu ya dola
Chadema nguvu ya watu!
 
CCM itashinda kwa kishindo Singida Mashariki.

CHADEMA mmeshakufa kifo cha mende ndembwendembwe, yaani mmeloa chapachapa
 
Ushindi wa kishindo "waliojiandikisha 100000 wapiga kura 200 kisha ushindi wa kishindo kura 192 kwa 6 moja ikiharibika!!!
 
Kwa kweli hatutaki,labda wasimamizi wa kura watoke lumumba sipati picha polisi watavyofurika jimboni kwetu
 
Unaweza ukashindana kwa kura tu au kwa msaada wa jeshi lá policcm.
Red brigade kazi yao ni nini?
Si mliamua kuwa na wanamgambo?
Kazi yao ni kupiga?
Kwanini wasilinde kura?
Kweli mmechoka
 
aibu kwako, chama cha kijamaa kitakuwaje na mahusiano na ubeberu? ubeberu upo kinondoni kule kwenye ofisi pagala hivyo usipindishe huu ukweli.

tatiz
Hata utoke povu, ni mabeberu ,na wanafuga dikteta uchwara. Kataa na hili, maana wengine hadi mfanyiwe tohara ya akili ndo mjitambue, pole sana.
 
Red brigade kazi yao ni nini?
Si mliamua kuwa na wanamgambo?
Kazi yao ni kupiga?
Kwanini wasilinde kura?
Kweli mmechoka
Hayo yaliopita humo vituoni huoni au hujui inakuaje kipindi hicho chá kuchagua viongozi na uhesabuji wa kura na kabla yahapo utolewaji wa hati za viapo?

Au unashabikia upumbavu?
 
Hayo yaliopita humo vituoni huoni au hujui inakuaje kipindi hicho chá kuchagua viongozi na uhesabuji wa kura na kabla yahapo utolewaji wa hati za viapo?
Au unashabikia upumbavu?

Sasa kwanini mkubali kuibiwa kura na mna wana mgambo?
.

Tena mnajiita makamanda.

Kamanda maana yake ni mkuu wa vikosi, yaani ninyi kila mchadema ni kamanda, ila cha ajabu hamjilindi mnalialia tu.

Lindeni kura.
 
Back
Top Bottom