Mvua hizi za Agosti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvua hizi za Agosti!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by deadteja, Aug 8, 2011.

 1. deadteja

  deadteja JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Jamani mvua hizi, mbona za kushangaza? Au ni kwa ajili ya kujaza maji Mtera kama na huko zanyesha? Au za kutufanya tuumwe tu tushindwe kutafuta ridhiki? Mvua gani za Agosti? Nawakilisha.
   
Loading...