MVOMERO: Watu zaidi ya 20 wavamia kijiji na kupora ng'ombe 15 kwa wafugaji

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,266
4399cf5d46ef28d5c5b087a8d6133280.jpg
e7e137f3d2af1166b3df64686d72adee.jpg
Kundi la watu zaidi ya 20 waliokuwa na silaha za jadi, wamevamia na kupora ng'ombe zaidi ya 15 kwa wafugaji wa Kijiji cha Kambara wilayani Mvomero na kisha kuwachinja ng'ombe saba na wengine kutokomea nao kusikojulikana.
ca1648ab481f6d33205cc0bef8e15bde.jpg


Chanzo: ITV channel


My take: Serikali kama itaendelea na ahadi tu kuwa tatizo la wakulima na wafugaji litatuliwa, bila shaka tutaendelea kushuhudia uharifu zaidi wa binadamu na mifugo, naamini kuna maeneo wengi nchi hii ambapo wanaweza kukaa kando na wakulima kwanini wasifanye maamuzi hayo?
 
Serikari inaogopa nini kufanya mamuzi ya kisayansi inang'ang'ania mamuzi ya kisiasa hizi vurugu hazitaisha kama wataendelea hivyo
 
Waziri Mwigulu si aliwawekea mikwara hao,Nadhani watakuwa wanamjaribu
 
Back
Top Bottom