Jamani leo kumekuwa na kizaazaa pale halmashauri ya wilaya ya mvomero,moro,eti walimu wamepigiwa simu wafate pesa zao kufika huko wale wa stashahada wanaambiwa wasaign 135,000kwa stashahada na 195000 bila hata kuambiwa nin kinaendelea,baada ya kuhoji wanaambiwa waende bungeni ndo kuna majibu,HIVI NI HAKI KWELI?mim nimezinyaka kwa dogo wangu,baada ya kujibiwa utumbo huo wengne wamechukua ila weng wemegoma,tetesi ni kwamba pesa imekuja yote lakin wanataka walimu wasign hicho kiduchu then nyngne wadhulumiwe.