Mvi za mapema

Discoverer

Member
Jul 16, 2009
58
12
:angry: Wandugu, naombeni msaada, mimi ni kijana wa miaka 32, lakini kichwa changu kwa sasa kina shambuliwa na mvi ile mbaya, naogopa kuwa kama EL kabla ya wakati. Wana JF naombeni msaada.
 
:angry: Wandugu, naombeni msaada, mimi ni kijana wa miaka 32, lakini kichwa changu kwa sasa kina shambuliwa na mvi ile mbaya, naogopa kuwa kama EL kabla ya wakati. Wana JF naombeni msaada.

Mkuu ,
hakuna reverse gear kwa hilo..
sasa uchague moja kati ya haya:-

1. unyowe kipara kila wiki, hutaziona mvi zako.

2. uvae pariki nyeusi, siyo kama zile za majaji,

3.au u-dye,upake rangi uipendayo kwa nywele ili kuficha kinachokuudhi.

4. ufanye 1 and 3 kwa wakati mmoja.

kama haya hayakufai, dawa ni kutojiangalia kiooni na tatizo lako litakuwa umelipatia ufumbuzi.

Uswahilini mvi ni ishara ya busara na hekima.au unapendelea uonekane kuwa ni muhuni?:frown::rolleyez:

Unaweza kupata mikorogo kwa wachina! Inaweza kuua mvi lakini ukikosea kipimo itakuuwa wewe mwenyewe! Nimekushauri na kukuonya. Good luck!
 
Back
Top Bottom