MV Serengeti Yawaka Moto Bandarini ZNZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MV Serengeti Yawaka Moto Bandarini ZNZ

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mafuchila, Mar 13, 2010.

 1. M

  Mafuchila JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2010
  Joined: Apr 29, 2006
  Messages: 752
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  BREKING NYUUUUUZZZZZ: meli ya mv Serengeti inawaka moto
  Habari zilizotufikia hivi punde,ni kwamba Meli ya Mv Serengeti iliyokuwa ikifanya safari zake ndani ya Bahari ya Hindi,inawaka moto sasa hivi katika bandari ya Zanzibar ilipokuwa ikitaka kuondoka kuelekea Pemba.Aidha Kikosi cha zima moto Zanzibar kimewasili eneo la tukio kikifanya juhudi za kuuzima moto huo.Kwa habari zaidi na picha tuvute subra kidoogo.!!
  Source: Michuzi Blog
   
 2. T

  Tall JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  maskiniiiiiiiiiiiiii. duuuu.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Mar 13, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,384
  Trophy Points: 280
  Taifa lisililojiandaa kwa majanga...
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,569
  Likes Received: 18,318
  Trophy Points: 280
  .
  Kufuatia ile ajali nyingine ya moto bandarini Zanzibar kipindi kifupi kilichopita, I belive they learnt their lesson, this time things, will never be the same again.

  Lets hope for the best.
  Tusubiri update na tuwapongeze kwa kazi nzuri.
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,572
  Likes Received: 82,075
  Trophy Points: 280
  Mkjj Taifa lisilojiandaa kwa lolote lile.
   
 6. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Uwapongeze kwa lipi wakati hata update hujapata vipi Pasco.........
   
Loading...