Mv serengeti yagoma kwenda abiria walala kwenye meli mpaka asbh

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Wakati watanzania wakiendelea kuumia na maumivu ya mv spice
meli nyingine ya mv serenegeti iligoma kuondoka baada ya kukutwana matatizo
na kufika wakati abiria kuomba kuondoka wakaombwa wasubiri na mwisho
wakaja kusema atuna jinsi mamlaka ya bandari imesema atuwezi kuondoka
inabidi ttulalel kwenye meli mpaka asbh walipotolewa

hawa wenye vyombo vya maji wana dili gani na wazanzibari jamani??
 
hiyo meli inatoka wapi na inaelekea wapi.....ni baharini au ziwani?....jombaa vipi mbona habari haina nguo.....?
 
Hii meri sijawahi kupanda.nilikuwa nikikuta yenyewe du naahirisha ili nisubiri MV VICTORIA.
 
hiyo meli inatoka wapi na inaelekea wapi.....ni baharini au ziwani?....jombaa vipi mbona habari haina nguo.....?

Taratibu Preta naona Spice islander imekujeruhi, hata hivyo na Pdidy habari kaiandika na munkari, inabidi atoe maelezo zaidi.
 
mv serengeti inasafiri ziwa victoria.MWANZA-BUKOBA.

Acheni kurusha maneno yasiyokuwa na uhakika jamani. hii JF ni sehemu ya kupata habari na si kueneza pumba kama kijiwe cha wala unga.
Meli ya Mv serengeti inafanya safari kati ya Unguja na Pemba. Ni meli chakavu mno. Nilwahi kupost mada kama mnakumbuka ya Sikio la kufa halisikii dawa ilikuwa inahusu meli hii. Iliingizwa nchini miaka kama ishirini nyuma na Bakhressa kupitia Kampuni yake ya Azam Marine. Lakini baada ya kuona ishachakaa akaiuza kwa kampuni ya Jack Enterprises. Mwaka juzi iliungua moto. Mungu aepushe lakini nafikiri ni kama time bomb hii meli.
 
Hapa kuna mkanganyiko wa habari sasa mtoa thread atuambie yawapi kwani hata MV Serengeti hipo MZA to BKB mkuu.
 
sawa lakini iliyogoma ni hii ya Zanzibar Mkuu. Mimi nipo hapa karibu na bandari ya malindi Unguja. Na tukio hili lilitokea juzi. Na kwa taarifa zisizothibitishwa meli hiyo imeshakatazwa kubeba abiria.
 
Acheni kurusha maneno yasiyokuwa na uhakika jamani. hii JF ni sehemu ya kupata habari na si kueneza pumba kama kijiwe cha wala unga.
Meli ya Mv serengeti inafanya safari kati ya Unguja na Pemba. Ni meli chakavu mno. Nilwahi kupost mada kama mnakumbuka ya Sikio la kufa halisikii dawa ilikuwa inahusu meli hii. Iliingizwa nchini miaka kama ishirini nyuma na Bakhressa kupitia Kampuni yake ya Azam Marine. Lakini baada ya kuona ishachakaa akaiuza kwa kampuni ya Jack Enterprises. Mwaka juzi iliungua moto. Mungu aepushe lakini nafikiri ni kama time bomb hii meli.

Na ziwa victoria pia kuna Mv serengeti na yenyewe huwa inapelekeshwa sana na mawimbi
 
Matatizo haya mengi ni ya kutengezwa.Kumbuka watu hawa wengi wanamwabudu shetani,kwahiyo kutoa makafara kwao ni lazima.

Back
Top Bottom