aleesha
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 792
- 1,144
Tunaambiwa mradi wa ukarabati wa meli hii kongwe umegharimu jumla ya dola za kimarekani USD 30,825,000 ikiwemo malipo ya msimamizi wa matengenezo ya meli hiyo.
Aidha taarifa zinasema jumla ya USD 37,000 zimetumika katika gharama ya safari ya viongozi wa serikali pamoja na wanasiasa waliopata fursa ya kusafiri nchini Korea Kusini.
Hizi ni fedha za walipa kodi ambao wengi wao ni maskini watu wamezitafuna kwa maslahi yao binafsi