Mv magogoni kulikoni?


Joined
Mar 22, 2008
Messages
71
Likes
2
Points
0

Kadudu

Member
Joined Mar 22, 2008
71 2 0
Hii pantoni tangu imezinduliwa hata mwaka bado kasi yake imepungua sana.
Mwanzoni tulitumia dk 5 kufika magogoni au kigamboni sasahivi ni dk 15 kwanini?au kunatatizo gani lisijeleta maafa jamani
 

Forum statistics

Threads 1,204,877
Members 457,581
Posts 28,174,266