MV Dar es Salaam kufa kabla ya kuanza kazi?

Wewe Mdakuzi usibabaishe watu NA vitaarifa vyako vya kinafiki,Hiyo Mv Kilimanjaro NI ya nani?amenunulia wapi,ilikuwa mpya au used.Imelipiwa kodi kiasi gani?Kwa nini TRA wasiichunguze underinvoicing.
 
Kama wewe sio mwizi mbona unamtetea mwizi,ina maana wewe huoni hiyo boti ya magufuli ni ya kizamani? alafu imenunuliwa gharama kuliko ya kisasa huo sio wizi ni nini.
Mwizi na baba wa wongo ni wewe.midomo yako ni fitina tupu.Magufuli oyee
 
Makufuli Ni fisadi siku nyingi, hawataweza kujisafisha tena! Labda wajisafishe na kuwaachia wale mashekhe wa wetu la sivyo kigamboni haupati kura, waislamu nao hatukupi kura fisadi makofili. Hela yote kajenga hotel kubwa kulala 150

Sema watanzania usianze na dini ni jambo baya sana ukianza kuwaingiza watu huku, watanzania watapiga kura kuchagua kiongoz bora wala huna haja ya kuzungumzia dini zao na mashekh wa kigamboni, wakristo nao wakuanza kuzungumzia madhehebu yao hapa basi hatitabaki salama
 
mi sipendlei UKAWA wala CCM, ila inshu y MV Dar es salaam ni kwel, coz mi naishi kgambn naiona na haifai kusafrishia abiria, km hujui kuna mwanajeshi kashakufa kisa mv dar ilizngua, hata km unatak kusema makufuli hausik au sio fisadi, ila mv dar es salaam ndo iko ivo haifanani kabsa na kilimanjaro V, acheni ushabiki w kijnga. Nyie watu w mikoa hamwez kuelewa, sisi 2lopo Dar ndo 2naona mambo na ukwel, yani unabsha wakat Mv dar es salaam inafahamik kuw ni bovu ? Kwel watz ha2wez kubadlika, na wengne wanalijua hilo ila wanafnya makusud sa unamkomoa nani ? Achen ushabk wa chama, muulze m2 yoyote wa Dar akupe stori ya Mv dar es salaam.
Mutaelewa 2 safari hii, mabdliko lzmm

Umeshawahi kuipanda au unaiona tu? ukisema haifanani na KLM V kwani walisema wananunua inayofanana? si walishasema hii ni tofauti na ferry nyingine nyie watu wa kigamboni mnazozijua.
 
Makufuli wenu kwa nchi ambazo wananchi wake wana akili timamu hata kumsogelea tu au kumshika wangemwepuka, maana jamaa ni mwizi ile mbaya na ni kanafiki sana..
 
Subiri hilo litokee, na kama litatokea basi amini kuwa Mwenyekiti wenu hatabaki salama. Muulize Pinda kwanini alizimwa na ile issue yake ya kukataa V8? Unajua kwanini Dowans (Richmond) iliunganishwa kwenye mradi wa umeme wa gesi ambao Marekani inausimamia kwa sasa?
Usimuone Lowassa amekaa kimya, na ushukuru tu kwa jinsi alivyoamua kukaa kimya coz akiamua kuongea ndio mtajua kama Mwenyekiti wenu ndiye mchafu namba moja. Na ndio mtajua jinsi anavyojitajirisha kwa matangazo hewa ya utalii akishirikiana na Pinto wa Jambo Leo.

Ova

Lowasa aongee na amlete Balali kama alivyoahidi vinginevyo ataendelea kua PAPA la Ufisadi
 
Kwa hili la Magufuli alifanya tu kumridhisha bosi wake JK mzee wa Bagamoyo. Lakini ni project iliyokufa kabla ya kuanza. Ni pesa ya walipa kodi iliyopetea bure tu.
 
tuwage basi na shukrani hata kidogo jamani.. uungwana ni kutodharau kila panapoonekana walau juhudi kidogo imefanyika,,, kuliko kutoka ubungo mpaka chamazi kwa miguu ni bora sana ukienda hata kwa baiskeli mbovu mbovu,, namaanisha it's better LATE than NEVER

Dah,umenishangaza sana Mkuu,point hapa ni je hizo picha mbili na cost za manunuzi zinaendana? Moja imenunuliwa 6bn na ni ya kisasa zaidi kuanzia mwonekano uwezo wa kubeba abiria 500 hadi kasi yake,hiyo nyingine imenunuliwa 7+bn full manual inazidiwa hata na TITANIC! na inabeba abiria 300 Halafu wewe unaleta hadithi za tuwe na shukrani😳😳?
 
Kungekuwa na vi data au japo vi karatasi viwili vitatu hii kitu ingekuwa moto sana. . . Lakini kama Richmond ilikuwa ni baraza na mamlaka za juu hili kwa nini apewe huyu binafsi??!!

This is very true. Huhitaji data kwenye issue ya masaa ya safari. Ni zaidi ya matatu wakati bus inatumia saa moja unusu. Technically hata ungekuwa wewe ungepanda bus uwahi Dar.Ndio maana hatupandi.

Concept ya huu mradi ilikuwa kupunguza foleni kwakutumia njia ya bahari kwa kutumia fast boat ambayo ingechukua abiria na magari kwa vituo kama vinne njiani. Maagati yalikuwa yajengwe kwenye vituo kama vinne. Boat imeletwa na design ya magati ndio wanafanya. Jiulize nini kingetanggulia boat au vituo?

Issues za safety ni za hiovyo huwezi linganisha na azam Kilimanjaro V hata kidogo. in short tumeliwa. Data nyingi kama bei Google tu utapata huna haja ya karatasi. Kilimanjaro V ukitaka uione panda toka Dar mpaka Zanzibar.

I am ccm kwa hili huyu mgombea wetu ameharibu kabisa. Tumsamehe tu.
 
CCM Wakisema Lowassa fisadi linawarudia wenyewe kwa nini hawajamkamata miaka yote, tena jk alimnadi na kusema Richmond ni ajali ya kisiasa. Kwa lugha nyingine CCM inathibitisha kushindwa kudhibiti wizi na kulinda wezi ilimradi wawe wanaccm watiifu.
Ndio maana mnaambiwa hapa kila uchao achaneni na vyama cha maana ni kura tu waachieni wahangaike nyie pigeni kura tu baaas. . . . .Ila wananchi wamegeuka wasemaji wa vyama, mahakimu na mawakili hapo hapo. . . .

Huko aliko ndio walimtangaza fisadi wazi mkutanoni. . . . .
 
This is very true. Huhitaji data kwenye issue ya masaa ya safari. Ni zaidi ya matatu wakati bus inatumia saa moja unusu. Technically hata ungekuwa wewe ungepanda bus uwahi Dar.Ndio maana hatupandi.

Concept ya huu mradi ilikuwa kupunguza foleni kwakutumia njia ya bahari kwa kutumia fast boat ambayo ingechukua abiria na magari kwa vituo kama vinne njiani. Maagati yalikuwa yajengwe kwenye vituo kama vinne. Boat imeletwa na design ya magati ndio wanafanya. Jiulize nini kingetanggulia boat au vituo?

Issues za safety ni za hiovyo huwezi linganisha na azam Kilimanjaro V hata kidogo. in short tumeliwa. Data nyingi kama bei Google tu utapata huna haja ya karatasi. Kilimanjaro V ukitaka uione panda toka Dar mpaka Zanzibar.

I am ccm kwa hili huyu mgombea wetu ameharibu kabisa. Tumsamehe tu.

1. Kwani data ni nini. . . .Mbona we umeweka hadi idadi ya magati na nini kilitakiwa kianze. . . .Kila gati linagharimu kiasi gani na muda wa kujengwa ni upi??!!! Tunapoamua kuonesha weakness ya mradi tulenge efficiency, effectiveness na sustainability factors halafu tupewe muda tujadili lakini ni lawama tu lawama tu. . . . . .Magufuli ndio kanunua hii boat katoa pesa hazina??!!! Seriously??!!

2. Mi sipajua hata Morogoro achilia mbali huko Dar mkinipa vituo inaposimama kushusha na kupakia na muda kwa kila kituo naweza pata pich y muda wa safari kuliko kuniambia mara Zanzibar sijui Kilimanjaro five hivi na vile. . . . .Comparison sawa je Kilimanjaro inasimama pia au zote hazina vituo??!!! Zina engine ngapi na ngaoi huwashwa safarini kwa zote mbili. . . .Propelling capacity wakati wa safari. . .

3. Kuliwa was obvious tangu mwanzo kabisa Bagamoyo to Dar barabara ni moja tu wangweka reli ningeelewa zaid kuliko boat so kama ni kuliwa ni tangu designing/choosing lakini yote haya ni Magufuli??!!

Tuache kasumba ya kutajana majina tuangalie mechanism inayotufikisha kwenye actual problems

We CCM hongera mi sina chama wala kambi.. . . .
 
mi sipendlei UKAWA wala CCM, ila inshu y MV Dar es salaam ni kwel, coz mi naishi kgambn naiona na haifai kusafrishia abiria, km hujui kuna mwanajeshi kashakufa kisa mv dar ilizngua, hata km unatak kusema makufuli hausik au sio fisadi, ila mv dar es salaam ndo iko ivo haifanani kabsa na kilimanjaro V, acheni ushabiki w kijnga. Nyie watu w mikoa hamwez kuelewa, sisi 2lopo Dar ndo 2naona mambo na ukwel, yani unabsha wakat Mv dar es salaam inafahamik kuw ni bovu ? Kwel watz ha2wez kubadlika, na wengne wanalijua hilo ila wanafnya makusud sa unamkomoa nani ? Achen ushabk wa chama, muulze m2 yoyote wa Dar akupe stori ya Mv dar es salaam.
Mutaelewa 2 safari hii, mabdliko lzmm

Kwani Dar sio mkoa??!
Hilo dude bovu sijui kuukuu haliwezi kuwa limenunuliwa na mtu mmoja. . . . .Richmond alijitoa mtu mmoja leo tunaambiwa kuna mlolongo wa watu hii tabia inatakiwa ikome. . . .Watu wakizingua basi the whole chain should sink ndio tutafika sio kutajiwa mtu mmoja mnatulia, mkimaliza hapa ifufuke Escrow ambayo nayo ilikuwa partially addressed!!!

Amkeni kama mnataka mabadiliko haswaa
 
Kungekuwa na vi data au japo vi karatasi viwili vitatu hii kitu ingekuwa moto sana. . . Lakini kama Richmond ilikuwa ni baraza na mamlaka za juu hili kwa nini apewe huyu binafsi??!!

Richmond ilikuwa ya mamlaka ya juu baada ya Lowassa kutuambia kuwa mhusika ni mamlaka ya juu.Basi na Magufuli.naye aseme kuwa ni mamlaka ya juu
 
Back
Top Bottom