Mv Dar es Salaam ilikuwa porojo?

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,288
Wakuu nauliza tu kwa kifupi ni wapi ilipo mv Dar es Salaam, ambapo tulitegemea ingekuwa mkombozi kwa wakazi wa wilaya ya Kinondoni na Bagamoyo lakini hadi sasa imebaki historia

Magufuli jaribu kumaliza hii maneno kwa kutumbua jipu

Asanteni
 
Umekiri kumtambua Dr.Magufuli kama rais wa Tanzania sasa mbona boss wako Lowassa hamtabui huoni kama unatofautiana naye.
 
Nimekiri magufuli ni rais wa jamiiforums,nisipokiri humu sheria za makamba zinaweza kunibana na ikawa mwisho wa harakati za kudai demokrasia,sasa vp ile meli mlipeleka wapi?
 
Hawa usipate nao tabu jifanye bendera, wanakovumia ndiyo uelekee huko huko!!
 
Wakuu nauliza tu kwa kifupi ni wapi ilipo mv dar es salaam,ambapo tulitegemea ingekuwa mkombozi kwa wakazi wa wilaya ya kinondoni na bagamoyo ,lakini hadi sasa imebaki histori
Magufuli jaribu kumaliza hii maneno kwa kutumbua jipu

Asanteni
ilo swali muulize mtumbua majipu maana ndie alieileta kwa mbwembwe na matokeo kimya hakuna cha safari wala tusker ni shida tupu
 
Wakuu nauliza tu kwa kifupi ni wapi ilipo mv dar es salaam,ambapo tulitegemea ingekuwa mkombozi kwa wakazi wa wilaya ya kinondoni na bagamoyo ,lakini hadi sasa imebaki histori
Magufuli jaribu kumaliza hii maneno kwa kutumbua jipu

Asanteni
kuna majipu mengine ukiyatumbua yanaweza kusababisha kifo, dawa yake ni kutafuta dawa ya kuyafifiza mojawapo ya jipu hilo ni hilo ulilolesema
 
Back
Top Bottom