vevenononombo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,289
- 420
Mnamo mwaka 1996 tarehe 21/5 Nchi yetu ilikumbwa na maafa makubwa Mara baada ya MV bukoba kuzama ktk ziwa Victoria Watu wengi sana zaidi ya 700 walipoteza maisha yao ,leo kuna watu wengi maisha yao yalibadilika kabisa baada ya ajali hiyo,kwani kuna waliopoteza familia nzima,wengine walipoteza wazazi wao lkn wengine ndoto zao zilipotea siku hiyo hadi Leo wamekosa muelekeo wa maisha,Hivyo tarehe hiyo kwa wakazi wa mwanza na bukoba na sehem nyingine za Tanzania imekuwa ikiazimishwa kwa kumbukumbu hiyo Lakin hatua chache maeneo ya bwiru ulipo mnara wa MV bukoba iliyozama ikiwa imekaribia jijin mwanza kutakuwa na tukio kubwa la kiburudani ktk Litakalo kuwa na msanii mkubwa kutoka Marekani NeYo ktk viwanja vya ccm kirumba jijin hapo chin ya kituo cha redio maarufu jijin mwanza cha jembe ni jembe ktk tukio lililopewa jina la Jembeka festival Ni rai yangu kwa Mr Sebastian Ndege mmiliki wa kituo hicho kuitazama tarehe hiyo kwa mtazamo tofauti
Vevenononombo 2016
Vevenononombo 2016