Muzungu najua kiswahili napenda jf may i come in please?

Mmmmmhh!
Karibu sana Jf!
Chaguo la wengi!

Nasoma sana jf na imesaidia kuelewa swahili now naingia ili namimi niwe member. naishi tanzania for last eight years na nawapenda sana wote. forget europe tanzania is my country. hodi
 
Alikuwepoo miss usa hapa jf.aka potea kwa siku.chache
Subiri wataalam waamke napombe zao juma tano mbali you will be gone back uzunguni.kila la heri.by mwafrika.
 
Ze mzungu usiwe mjinga ukaweka picha yako. Angalia kwanza wenyeji wameweka picha za namna gani. Hata kutaja jina lako halisi nako umechemka. Angalia majina yetu yalivo.

una hakika ni jina lake kweli.....JF we ione hivi hivi.....
 
Nasoma sana jf na imesaidia kuelewa swahili now naingia ili namimi niwe member. naishi tanzania for last eight years na nawapenda sana wote. forget europe tanzania is my country. hodi

PM me katarina tafadhali
 
Back
Top Bottom