Muzina - Tabu ley: Sikuwahi kuwaza kama huu wimbo wa kumsifu Mungu

42774277

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
6,833
8,811
Leo ndio nimejua sijui.

Kiukweli sikuwahi kuwaza kama huu wimbo ni wa dini.

Na nmedata zaidi niliposoma comments za watu kwamba huu wimbo Congo unapigwa makanisani sana.

Wakati huku kwetu Bongo ni wimbo unapigwa sana kwenye Mabaa.

Nikachoka zaidi nilipokuja kuiona Translation yake ya kiswahili.

Haya ni maneno machache tu ya huo wimbo...

Muzinaaaa
Muzina di tata, e di mwana, e di mpeve santu
Muzina di tata nzambe oooh, muzina
Babotama, bazala, bakufa, balamuka, basekwa Ah ah
Basumuki baboya nzambe batala ye mpamba
Ntango ya bisengo oh oh
Kasi nkombo ya nzambe ezali ya makasi boboto
Ya yahwe ya nkembo, bakolimbisa bango

Unaweza kupita youtube ukaona translation zake zipo nyingi sana mpaka za kiswahili.

Alamsiki.
 
Wakongwe mbona tunajua kitambo tuu, kila jumapili lazima niamke nao nyumbani kwangu.

Screenshot_20211025-205139.jpg

Screenshot_20211025-205115.jpg
 
Hawa jamaa waliutendea haki mziki wa rhumaba

Tabuley na Franco Luambo ndio generation iliyokua inakimbiza wakati wao enzi Afrika inaunganishwa na Muziki wa Rhumba na Soukous kutoka Zaire, wakati ambao kinshasa ni maarufu duniani hadi leo ni maarufu kuliko hata Dar kwani ilikua jiji pekee la kula maraha, muziki wa congo uliitambulisha Afrika na ulichezwa nchi zote hadi late 90yrs ndio nchi nyingine zikaanza kutake over taratibu hadi tukaanza kucheza kwaito, sasa muziki unaotamba Afrika ni muziki wa kinigeria wenye ladha ya dancehall unaochagizwa na muungurumo mkali, Bongofleva bado ndio maana umeona wasanii wetu america wamekua wageni hawana mashabiki ingekua fally angejaza hata marekani kwa sababu muziki wao una utambulisho wake
 
Marehemu Ruge angekuepo leo Singeli ingekua muziki wa Utambulisho wa Tanzania maana una sound ya kivyetu ilikua kuwatwist wasanii waimbe singeli yenye maana na maneno ya kufunza jamii wakati huo wakiburudisha tungetoboa kama Amapiano inavoshika Afrika kwa sasa
 
Tabuley na Franco Luambo ndio generation iliyokua inakimbiza wakati wao enzi Afrika inaunganishwa na Muziki wa Rhumba na Soukous kutoka Zaire, wakati ambao kinshasa ni maarufu duniani hadi leo ni maarufu kuliko hata Dar kwani ilikua jiji pekee la kula maraha, muziki wa congo uliitambulisha Afrika na ulichezwa nchi zote hadi late 90yrs ndio nchi nyingine zikaanza kutake over taratibu hadi tukaanza kucheza kwaito, sasa muziki unaotamba Afrika ni muziki wa kinigeria wenye ladha ya dancehall unaochagizwa na muungurumo mkali, Bongofleva bado ndio maana umeona wasanii wetu america wamekua wageni hawana mashabiki ingekua fally angejaza hata marekani kwa sababu muziki wao una utambulisho wake
Licha ya muziki Kinshasa ndiyo ilikua kituo kikuu cha utafiti wa sayansi na magonjwa ya binadamu Africa
 
Back
Top Bottom