muziki wa Tanzania waweza kuingizia billioni 100 kwa mwaka iwapo tukifanya yafuatayo

unazungumzia miziki ya marlow, sugu na jaydee? be serious
Mkuu umefanya research kuhusu mziki wa bongo flava au umekurupuka??
Nenda pale chuo kikuu au basata kaulize kama umeshindwa kufanya research
 
mkuu hilo jambo lingewezekana kama huduma ya internet ingekuwa inawafikia watanzania wote na kwa bei nafuu, hili swala lingefanikiwa tungepata changamoto nyingine ya internet service
 
mkuu hilo jambo lingewezekana kama huduma ya internet ingekuwa inawafikia watanzania wote na kwa bei nafuu, hili swala lingefanikiwa tungepata changamoto nyingine ya internet service
Kwa huduma yetu ya internet ndio maana tumeamua kUplan kuweka mbinu mbadala wa kulipia bei
M pesa, tigo pesa na airtel money
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom