Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora huko,pia kwenye mahafari na wanameng'enuka mbele ya walimu wao na wazaziMbaya zaidi zinapigwa kwenye school bus, Dah!
Na video vixen wake shoga mtarajiwaKuna ile singeli cjui kaimba nani anasema ..jmn naheshimu madanga ya mke wangu ......cjui tunaelekea wapi
Zamani nilikuwa mpenzi wa bongo flavor za kina Diamond na Harmonize pamoja na hao uliowataja.Miziki ya sasa hivi ni kama aibu !
Kama una umri fulani itakubidi kuchagua aina za miziki .
Kwa wale mnaofahamu lugha kutokana na miziki mtakuwa mnaelewa.
Tuje kwenye miziki yetu ya ndani hapa tanzania tena kizazi hiki.
unajua tena ofisi binafsi kama unamiliki kuwa na tv ni jambo la kawaida.
Sasa chaneli iliyowekwa ikawa inapiga nyimbo hizi za vijana.
Kuna nyimbo moja ya kadada kamoja kana jiita vitu vilivyomo kwenye bustani ,mtajua kwenye bustani kunatakiwa kuwekwa nini ila sio za bustani ya vyakula.
Ile nyimbo kwa kweli ni aibu kama inavosema "mwagia ndani ,mwagia ndani chakula ya watoto"
Suala jingine kwenye miziki ya sasa kuna maneno ya ajabu ajabu na si kiburudisho.