Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,844
- 95,792
Heshima yako bwana Mobutu. Nyimbo nzuri sana. Vipi grupu uliunda?Malcom Lumumba, Mkuu, unaonaje tuwe na group whtsp ?kwa kufny hvo itakua rahisi zaidi na kuokoa mb
Misanya nae alikuwa anajua sanaMadini ya mtaa wa mangoma ya radio one.
Misanya Bingi alikuwa na kipindi cha vitu laini
Karibu....Jimena hii imenikumbusha mbali Sana. Asante kwa kui - share
Alikuwa vizuri sana. Ilikuwa sijui alhamisi au ijumaa alikuwa anapiga vitu amazing sana pale ITV. R.I.P
Naam miongoni mwa thread bora sana JF.Huu ndio mziki.Sio mtu anaimba usen*** mtupu sijui gusanisha - na +
R.I.P James IngramAlikuwa vizuri sana. Ilikuwa sijui alhamisi au ijumaa alikuwa anapiga vitu amazing sana pale ITV. R.I.P