Muwekezaji (partner) anatafutwa

Ya plastic bag sana sana hii ya hamsini hamsini ndio inafaida kubwa kwa haraka
 
Labda anatafuta tender ya kuiteketeza Sio kuitengeneza its so sad unatafuta muwekezaji kwenye biashara iliyokatazwa pole sana

Anza kufikiria hizo hizo plastic bags ila zenye standard ya kukubalika ila utahitaji mtaji mkubwa zaidi.
 
Serikali haijakataza ila imetoa kiwango ambacho ni geji 50 ya kila ambao utakua hautipwi kama awali
 
Napo hio ni mpaka mwakani maana bado mifuko inaendelea kutumika au hamjaiona masokoni?
 
aisee mkuu nakushauri tafuta biashara ingine maana ii nakumbuka ilikatazwa hivyo utajiingiza kwenye hasara bure
 
Bado sana serikali mpaka ifungie lazima watafute njia mbadala ndipo waweze kufungia
 
Ingekua ya kubahatisha serikali ingekua imefungia viwanda hivyo visiingie nchini lakini bado vinaingia na pia watu wanafaidika navyo.kwani wewe baada ya serikali kukataza umeacha kuitumia na pia haiwezekani kutokuwepo na mifuko mana hata mikate na ma sheet yapo yanayo zalishwa na kiwanda hiki hiki
 
Sio bahati ni kwaajili ya kununua material kama haiwezekani hua hamna haja ya maswali mengi hilo ni wazo
 
Wadau wa JF kwanini mnakuwa so negative huyu bwana kaja na wazo lake dhamira iwe kujenga sio kubeza kubomoa kudhihaki huo sio usitaarabu. Toa mawazo yako, toa hoja zako kwa nia ya kutaka kutafuta ukweli. Mtoa mada anasema mifuko sio yote ni ya category Fulani ndio imekatazwa hakuna mtu aliongezea hapo au kujadili mnaleta dhihaka tu.....Hebu tubadilike tusiwe nchi ya wapayukaji katika kila Nyanja. Watanzania kupayuka payuka, sikiliza jambo tafakari fikiria kama unalijua vizuri kama hujui au huna hakika kaa kimya au jaribu kulifanyia utafiti then ongea kama umepata information lakini sio unakuwa wa haraka kupayuka payuka
 
Plastic bags pamoja na packing yake imepigwa marufuku kuanzia January 2016. Hicho kiwand chako anza kubadili uelekeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom