Muwe makini sana na Dawa za Kichina

Osia

Member
Sep 1, 2012
57
13
Nawaasa sana wana JF wenzangu kuwa makini sana na hizi dawa za kichina;
wiki kama 3 zilizopita, alikuja jamaa mmoja kigamboni katika ofisi ya serikali akijiita Dr Rafael kama mmoja wa wa madaktari toka muhimbili kuwa wanataka fungua tawi lao huku kigamboni la tiba m'badala au tiba asilia ya dawa za kichina. Na kuwa wapo katika promotion huku akiwa na sample za dawa hizo akiziuza kwa bei ya punguzo.
Nilichukua jukumu la kufuatilia dawa hizo mpaka muhimbili pale kitengo cha watoto ground floor ndipo ilipo ofisi hii na wamiliki walikanusha kabisa kuwa wao hawahusiki na dawa hizi ni feki.
Nawaomba wana JF wenzangu kuwa makini sana, jamaa huyu anavaa miwani na ni mwongeaji mzuri sana ila ni TAPELI na anacheza na afya za watu.

Tujihadhari naye
sample ya dawa
photo.JPG photo (1).JPG
 
View attachment 72789View attachment 72790
zinatibu magonjwa gani???????????????
 
Huyu Dr feki anasema kila magonjwa; atakwambia moyo akimaanisha BP, kisukari, vidonda vya tumbo, marelia sugu etc.
Kwa style hii watanzania wengi watadhurika
 
Hivi hizo dawa zinaingiaje nchini??
Kweli Tanzania hakuna screening

nying ZNATENGEZWA HAPAHAPA, HATA MASIMU feki NINA MASHAKA WALE WACHNA WANAOUZA MAUA KULE KARIAKOO USIKU maduka YANAGEUKA MAKARAKANA ya vitu feki. Hakuna anaewafwatilia atiii
 
Back
Top Bottom