MUWASA wafanya maajabu, wazungu watua Moshi kuja kushangaa

Utawalaumu bure hao jamaa, huko Moshi wako fevad cncy colonial era, hadi govt zote zilizopita ukiitoa hii, We angelia Dar na population yake lakini kuna sehemu kibao dawasco hawajafika ni maji ya visima tu watu wanakunywa tena walivyochimba wenyewe,
Sio kweli watu WA mosh they know how to organize issues partaing development !!!! Pia wanaamini ccm ndio inawachelewesha which is true
 
Katika hali isiyo ya kawaida lakini sio kawaida zaidi kwa nchi ya Kiafrika kufanya hivyo, mamlaka ya maji safi na maji taka mji wa Moshi (MUWAS) imeamua kuzima mtambo wake mmoja baada ya kuzalisha maji ya ziada kwa asilimia 270%.
Hali hiyo ilizishitua mamlaka nyingi za maji duniani ambapo mamlaka zinazohusika na maji Cape Town na California ,ambazo kwa kiasi kikubwa zimekumbwa na uhaba wa maji walifunga safari hadi Moshi kuja kujifunza ni hasa watu hawa wamewezaje.

Bila hiana MUWSA iliwapa elimu muhimu ya kuweza zalisha maji ya ziada katika maeneo yao ambapo walisema siri kubwa ni utanzaji wa vyanzo vya maji pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanya na serikali katika mitambo na miundombinu mingine.
Mamlaka nyingine mbili nazo kuzima mitambo kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Mkuu labda Mimi ndo sijakuelewa Hiyo Mamlaka ya Moshi imezima Mitambo ya Kuzalisha maji sasa Maji INA Maana yanatoka mtono yenyewe?
Hayasafishi?
Hayasafirishi na Pump kwenda kwenye Mabomba?
Au Kuzalisha maji unaelewaje?
Mimi najua
Unayatoa chini mfano Mtoni,Unayatibu na kusafirisha kupitia Mitambo
Sasa humu watu sijui hawaelewi wanakuunga mkono Mitambo kuzimwa sasa maji watapataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu Meno kuoza we mtu wa Uru

Sent using Jamii Forums mobile app
Meno ya dhahabu Ni asili yetu
Utafiti umefanyika miji yote Africa Moshi pekee ndio yenye maji Safi na salama yasiyohitaji kuchemshwa
Sisi hatunywi maji ya vinyesi vya ziwani ka nyie wa bukoba karibu uchagani boss
1914593035.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haswaa wahaya dumu lá maji 500 wakati wapo ziwan

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli we ni kichaa kabisa.mvua zote za bukoba mwaka mzima eti kuwe na shida ya maji? Hivi tz kunasehemu inayopata mvua kama Bukoba? Hivi unajua bukoba kuna maziwa kibao mfano ikimba huko Bukoba vijijini,burigi na lile la kule karagwe na bado hujagusa ziwa Victoria.
Mamlaka ya maji bukoba inaitwa buwasa hebu ifuatilie na miradi yake sio kuongelea upupu hapa ndo maana Meno yako yameoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom