tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,672
- 19,187
Mkuu utakua unaongelea moshi bar ya huko kwa bashite,moshi inashida ya maji sana japo mito ni mingi ila muwasa hawana jipya wapo tu kusubiri mishahara,ukienda pasua,rau,majengo,soweto maji ya shida yanatoka mara moja au mbili kwa wiki.Katika hali isiyo ya kawaida lakini sio kawaida zaidi kwa nchi ya Kiafrika kufanya hivyo, mamlaka ya maji safi na maji taka mji wa Moshi (MUWAS) imeamua kuzima mtambo wake mmoja baada ya kuzalisha maji ya ziada kwa asilimia 270%.
Hali hiyo ilizishitua mamlaka nyingi za maji duniani ambapo mamlaka zinazohusika na maji Cape Town na California ,ambazo kwa kiasi kikubwa zimekumbwa na uhaba wa maji walifunga safari hadi Moshi kuja kujifunza ni hasa watu hawa wamewezaje.
Bila hiana MUWSA iliwapa elimu muhimu ya kuweza zalisha maji ya ziada katika maeneo yao ambapo walisema siri kubwa ni utanzaji wa vyanzo vya maji pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanya na serikali katika mitambo na miundombinu mingine.
Mamlaka nyingine mbili nazo kuzima mitambo kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Muwasa hawana plan wangekua na plan maji yangefika mpka majengo