MUWASA wafanya maajabu, wazungu watua Moshi kuja kushangaa

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,394
Katika hali isiyo ya kawaida lakini sio kawaida zaidi kwa nchi ya Kiafrika kufanya hivyo, mamlaka ya maji safi na maji taka mji wa Moshi (MUWAS) imeamua kuzima mtambo wake mmoja baada ya kuzalisha maji ya ziada kwa asilimia 270%.
Hali hiyo ilizishitua mamlaka nyingi za maji duniani ambapo mamlaka zinazohusika na maji Cape Town na California ,ambazo kwa kiasi kikubwa zimekumbwa na uhaba wa maji walifunga safari hadi Moshi kuja kujifunza ni hasa watu hawa wamewezaje.

Bila hiana MUWSA iliwapa elimu muhimu ya kuweza zalisha maji ya ziada katika maeneo yao ambapo walisema siri kubwa ni utanzaji wa vyanzo vya maji pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanya na serikali katika mitambo na miundombinu mingine.
Mamlaka nyingine mbili nazo kuzima mitambo kabla ya mwisho wa mwaka huu.
 
Uliza vizuri kama ni serikali au Germany wamefanya hiyo project. Kama ni serikali mbona wasifanye mikoa mingine?
 
mi nashangaa hao wanaotoka capetown na california wanakuja kujifunza nini hasa,wao hawajui kutanza maji au miundo mbinu mizuri ya maji inazalishwa tz? mi nnachokiona tafauti ni kuwa inawezekana eneo la moshi kuna maji mengi na watumizi wa maji ni kidogo kulinganisha na maeneo mangeni,hilo labda ndio la ajabu
 
Katika hali isiyo ya kawaida lakini sio kawaida zaidi kwa nchi ya Kiafrika kufanya hivyo, mamlaka ya maji safi na maji taka mji wa Moshi (MUWAS) imeamua kuzima mtambo wake mmoja baada ya kuzalisha maji ya ziada kwa asilimia 270%.
Hali hiyo ilizishitua mamlaka nyingi za maji duniani ambapo mamlaka zinazohusika na maji Cape Town na California ,ambazo kwa kiasi kikubwa zimekumbwa na uhaba wa maji walifunga safari hadi Moshi kuja kujifunza ni hasa watu hawa wamewezaje.
Bila hiana MUWSA iliwapa elimu muhimu ya kuweza zalisha maji ya ziada katika maeneo yao ambapo walisema siri kubwa ni utanzaji wa vyanzo vya maji pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanya na serikali katika mitambo na miundombinu mingine.
Mamlaka nyingine mbili nazo kuzima mitambo kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Matunda ya chadema
 
Hivi lazima kila kitu ni kubeza tu?? Penye pongezi wapewe maana pia kuna maeneo maji yapo ya kutosha hata zaidi ya matumizi na still hawajafika 60%.

Lakini hulazimishwi..
 
sio kubeza ni mshangao tu,hicho kitu cha ajabu ni kipi hasa ambacho watu wanakuja kujifunza hapa,au habari ya mtoa mada haijakamilika?
kwa sababi hizo nchi zina miundo mbinu ya viwango vya juu sana na pia wana uwezo mkubwa kuweza kutanza maji,kama marekani wameondoa tatizo ka maji kwa zaidi ya miaka 200 sasa
 
Katika hali isiyo ya kawaida lakini sio kawaida zaidi kwa nchi ya Kiafrika kufanya hivyo, mamlaka ya maji safi na maji taka mji wa Moshi (MUWAS) imeamua kuzima mtambo wake mmoja baada ya kuzalisha maji ya ziada kwa asilimia 270%.
Hali hiyo ilizishitua mamlaka nyingi za maji duniani ambapo mamlaka zinazohusika na maji Cape Town na California ,ambazo kwa kiasi kikubwa zimekumbwa na uhaba wa maji walifunga safari hadi Moshi kuja kujifunza ni hasa watu hawa wamewezaje.

Bila hiana MUWSA iliwapa elimu muhimu ya kuweza zalisha maji ya ziada katika maeneo yao ambapo walisema siri kubwa ni utanzaji wa vyanzo vya maji pamoja na uwekezaji mkubwa uliofanya na serikali katika mitambo na miundombinu mingine.
Mamlaka nyingine mbili nazo kuzima mitambo kabla ya mwisho wa mwaka huu.
Hongera watu wa Moshi.
 
Back
Top Bottom