"Muvi za kibongo" na English!

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
25szl.jpg

Yaani hawa ndugu zetu na hiki kiingereza, sijui nani aliwaambia English makes their work sound great!

Hapo si bora wangeandika "Tayari ipo madukani' kuliko huo upupu!!!!

Safari bado ndefu for self realization and self esteem for most of the bongo celebrities!
 
Hapo si bora wangeandika "Tayari ipo madukani' kuliko huo upupu!!!!!

Unalalamika nini? Hiyo title ya "Young Billionaire" au maneno "inapatikana madukani kote" ambayo hayana uhusiano na kiingereza?
 
Mkuu nafikiri ni hilo neno "Now on Store" it should be "Now in store"
 
Kwani ukitumia kiingereza ama kiswahili au kugha yoyote kuna tatizo gani?Kikubwa cha kuangalia ni ujumbe uliomo ndani si kwenye kava;DONT JUDGE THE BOOK BY IT,S COVER.
 
ubaya unakuja kiingereza au kiswahili au lugha yoyoe inapokuwa MBOVU.....
 
Kwani ukitumia kiingereza ama kiswahili au kugha yoyote kuna tatizo gani?Kikubwa cha kuangalia ni ujumbe uliomo ndani si kwenye kava;DONT JUDGE THE BOOK BY IT,S COVER.

'' Bwana akasema '' na aliye msafi aanze kurusha jiwe''
 
QUOTE=Nguruvi3;1016078]'' Bwana akasema '' na aliye msafi aanze kurusha jiwe''[/QUOTE]

...Ok, Here We Go...!!:brick:
 
25szl.jpg

Yaani hawa ndugu zetu na hiki kiingereza, sijui nani aliwaambia English makes their work sound great!

Hapo si bora wangeandika "Tayari ipo madukani' kuliko huo upupu!!!!

Safari bado ndefu for self realization and self esteem for most of the bongo celebrities!

Mkuu ninachoelewa mimi ni kuwa sasa ipo kwenye stoo. Sidhani kama alikuwa na maana dukani, ukiangalia hata neno lenyewe it looks like it has been stored.
 
If the underlined word would have mean " on " ilikuwa poaaa, according to how you think the ad indicates.
 
usijichanganye, wako sahihi kabisa, English is full of figurative speeches, the contextual meaning is what matters, dont rely on dictionary meaning only. umeelewa?
 
25szl.jpg

Yaani hawa ndugu zetu na hiki kiingereza, sijui nani aliwaambia English makes their work sound great!

Hapo si bora wangeandika "Tayari ipo madukani' kuliko huo upupu!!!!

Safari bado ndefu for self realization and self esteem for most of the bongo celebrities!
Nyambala
Kama unaona at least wanajaribu; ni vizuri zaidi kuw-encourage ana kuwajatribu kuwashaueri kuliko kuanza kuwaponda. Ukimponda huyu; kibaka aliyeko pale manzese darajani utamfanya nini? Au yule ndiyo anaku-conquer zaidi kuliko kanumba? Tatizo letu watu tulio wengi criticisms zetu zinakuwa dominated sana na prejudices ambazo hazina good intentions. Vinyongo vinyongo vidogovidogo huwa vina tendency ya ku-deter maendeleo, halafu vinakuja ku-backfire, then tunaanza kulaumiana wenyewe
 
Back
Top Bottom