bongo vituko haviishi....sasa kama ni shababa ya kiarabu likija huko kwa kujifanya ke unajua yatakayokukuta!!!,tamaa mbele mauti nyuma hahahahahahahahahaKama wewe Ni ke njoo huku usiwe mpweke
Lakini kama unajicho zuri tunachapaga tu.maana wewe ndo umesema mpwekebongo vituko haviishi....sasa kama ni shababa ya kiarabu likija huko kwa kujifanya ke unajua yatakayokukuta!!!,tamaa mbele mauti nyuma hahahahahahahahaha
Tafuta movie ya Kalabash ni bonge la movie ya kinigeriaMi pia naomba taito za movies za kichawi especially Nigerian movies
Asante mkuu , na gugo fastaTafuta movie ya Kalabash ni bonge la movie ya kinigeria
Safi sana mm namuongezea akimaliza hizo aangalie Hostel no 1 mpk 3tafta collections za final destination na wrong turn....uwe na roho lakn maana hizo zinatisha kwel sio kama za kibongo za kutisha kwa kutema matomato!
Load of the ling = Lord of the ringThe load of the ling
ngoja nizichek Youtube ...tafta collections za final destination na wrong turn....uwe na roho lakn maana hizo zinatisha kwel sio kama za kibongo za kutisha kwa kutema matomato!
Hizo ni Nigerian movie au za wadhungu ?tafta collections za final destination na wrong turn....uwe na roho lakn maana hizo zinatisha kwel sio kama za kibongo za kutisha kwa kutema matomato!