Muuzaji WA DUKA LA DAWA ANAHITAJIKA HARAKA, IFAKARA TOWN.

Naipuli

JF-Expert Member
Oct 8, 2012
266
109
Ndugu WANAJF,
Muuzaji wa Duka La Dawa Muhimu za Binadamu anahitajika haraka.
Job Location: Ifakara town
Qualifications: Awe amesomea Pre-Nursing course katika Chuo kinachotambulika na awe amepata Mafunzo ya Uuzaji wa DLDM kutoka TFDA.
Others: Mkweli na mwaminifu, mwenye kuipenda kazi yake.
Salary: Ni yenye kuridhisha kulingana na kazingira yw kitanzania tulonayo sasa.

How to Apply?: Tuma email kwa " aljamalpharmacare@gmail.com" au ni-PM namba zako za simu kwa maelezo zaidi.
 
Endelea kuwa na moyo huu
 
Nafasi bado iko wazi, changamkieni fursa hii.
Hata wale wa mikoani na nje ya Ifakara mnakaribishwa sana.
 
Na wale wa nje ya Ifakara, tuchangamkie fursa hii adhimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom