Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 109
Ndugu WANAJF,
Muuzaji wa Duka La Dawa Muhimu za Binadamu anahitajika haraka.
Job Location: Ifakara town
Qualifications: Awe amesomea Pre-Nursing course katika Chuo kinachotambulika na awe amepata Mafunzo ya Uuzaji wa DLDM kutoka TFDA.
Others: Mkweli na mwaminifu, mwenye kuipenda kazi yake.
Salary: Ni yenye kuridhisha kulingana na kazingira yw kitanzania tulonayo sasa.
How to Apply?: Tuma email kwa " aljamalpharmacare@gmail.com" au ni-PM namba zako za simu kwa maelezo zaidi.