Muuza duka la madawa anahitajika

Mbaguzi mkubwa wewe
Mnyanyasaji wa watoto wa watu
Jamaa amekuumbua na tabia yako ya kishetani umeiga huko uarabuni
Pumbavu kabsaa

Nasema huwezi kuishi na mtu wewe mbaguzi
Huna adabu
nosenses
 
Huyu jamaa anawanyanyasa sana wafanyakazi, alileta tangazo humu mwaka uliopita mm nilikuwa na ndugu yangu nikamwambia aende, lakini alimnyanyasa sana, yeye ni muislamu, na mdogo huyo wa kike ni mkristo, yaani mdogo wangu alikuwa anafanyakazi masaa 12, Siku saba za wiki, hamna hata siku moja ya kumpuzika, mshahara 100,000! Mpaka mdogo wangu hakumaliza hata mwezi, na kuna mambo mengi sana pia ambayo alinieleza, maana huyo mdogo wangu kaenda huko Majirani wanamwambia huyo boss hakaagi na mfanyakazi!!
Jamani tulio na wafanyakazi tusiwanyanyase basi tuwachukulie kama wadogo zetu!!! Mpaka chakula mnamtenga mwenzio, ni jambo la aibu sana, haya mambo nayasikia uarabuni huko, lakini mpaka huku bongo huwezi aamini mambo haya yapo!!!
@odamae umeona comment hii dada angu? Cc: odamae
 
Sasa una shindwa Nini kuweka taarifa zake zote za kipumbavu. Nyie ndio mnalea upuuzi halafu mnaanza kulialia.

Weka kila kitu hapa. Serikali ione maana namba zake za simu ziko humu na Kuna watu wengi wa serikali wanapita humu.
Yafaa sana ashunghulikiwe kwa mujibu wa sheria ya kazi. Mnyanyasaji huyu. Kama wema ulivyo ni mbegu hata ubaya ni mbegu pia lazima UVUNE hata kama sio leo hata Kesho Allah Haziakiwi
 
Yafaa sana ashunghulikiwe kwa mujibu wa sheria ya kazi. Mnyanyasaji huyu. Kama wema ulivyo ni mbegu hata ubaya ni mbegu pia lazima UVUNE hata kama sio leo hata Kesho Allah Haziakiwi
u know nothing u just talking shittttt!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom