muuza duka la dawa (PHARMACY) ANATAFUTWA

Pandamlima

Senior Member
Feb 27, 2013
143
13
Awe na sifa zifuatazo,

1. Awe na cheti ..nurse assistant au nurse, au aliyepitia kozi za tfda
2. Awe na uzoefu na kazi
3. Awe mkazi wa dar--kigamboni ni bora zaidi
4. Awe mchapakazi


tuwasiliane......0719 575791
 
Awe na sifa zifuatazo,

1. Awe na cheti ..nurse assistant au nurse, au aliyepitia kozi za tfda
2. Awe na uzoefu na kazi
3. Awe mkazi wa dar--kigamboni ni bora zaidi
4. Awe mchapakazi


tuwasiliane......0719 575791

Usingeweka sifa namba 1 ningekuwa wa kwanza kukutafuta. Kwingne niko vzuri.
 
Kuna mwenye vigezo vyote hivyo lakini yuko mikoani kama utafacilitate upatikanaji wa chumba cha kulala huko utakako kwa nambari 3 uliyoweka. Unasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom