Muungano wa wanaukawa na hatima yao

mnyamiwono

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
708
71
Wana JF!
Naamini mu wazima kabisa na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Leo gazeti la mwananchi limeandika kuwa viongozi wa vyama vya upinzani wanaounda umoja maarufu kwa jina UKAWA wamekubaliana kusimamisha mgombea mmoja wa urais na pia kusimamisha wagombea ubunge kwa makubaliano. Sasa wana jamvi hivi vyama tunavifahamu sasa kama kweli itatokea hivyo nini kitatokea katika siasa zetu? Tutaimarisha upinzani au tutaua upinzani? Naomba tuchangie kwa umakini ili kuwasaidia wanaukawa katika kukuza demokrasia nchini.
 
Back
Top Bottom