Muungano wa UKAWA waichanganya CCM, wamuahidi Slaa bilioni kumi Slaa awatosa

Tunamhitaji sana Dr. Slaa, Tunamhitaji sana Lowasa, Tunawahitaji sana wote Slaa na Lowasa. Pamoja tutashinda.
 
Hongera sana kiongozi we2 Dk slaa tunaomba usituangushe Watanzania tuliokupenda na kukuamini. Mwenyezi akuongoze katika kipindi hiki cha majaribu. Ameen
 
Wakuu salama?
Kwa habari nilizo zipata muda huu nikwamba chama cha mapinduzi kupitia kwa watu wa usalama wa taifa wamejaribu kila wawezalo kumrubuni dr slaa ili ajitoe chadema,habar zaid zinasema wamekuwa wanamfuata slaa nyumbani kwakwe kila siku wakimiomba ajitoe chadema hata kama hatahamia ccm basi apumzike siasa kwani wao watampa hiyo hela ili aondoke chadema.Mleta habaria anasema baada ya slaa kuelezwa hivyo aliwaambia kamwe hatakaa wala hatosubutu kuwasaliti mamilioni ya watanzania walioko nyuma yake na kamwe hiyo kwake itakuwa ni laana itakayo wamaliza ukoo wake na kizazi chao chote hivyo hatokaa ajaribu wala wasije mwambia tena habri kama hizo,Wakuu sasa ni wazi kuwa ngome ya ccm imebakia nyuzi ndogo sna zinashikilia kama imefika mahali sisiem hata hawamuogopi tena Mungu basi anguko lao limefika,na ikumbukwe hii ni baada ya ccm kuona timu ya ukawa imeshaundwa vya kutosha hivyo kuwatia kiwewe zaid ukijumlisha na lowassa aliyekuja kuongoza nguvu ukawa,ccm hamtakaa msahau huu mwaka,OMBI BINAFSI KWA MEMBER WOTE,KILA MWENYE NAMBA YA SIMU DR SLAA KWA UMOJA WETU NA USHIRIKIANO WETU AMTUMIE SMS DR AMPE PONGEZI KWA KWA KUYASHINDA MAJARIBU HAYO,ADMN TUNAOMBA USIUNGANISHE HUU UZI,TULIANZA NA MUNGU NA TUNAMALIZA MUNGU

Weka kabisa hiyo namba yake kama wewe unayo...
 
Mimi nimesoma seminary hibyo kwq level ya Dr.Sinashaka naye....Narudia kusema dregee zote nne hakupewa ila kichwa kilifuka Moshi...Mpaka Kazipata...Hajashikiwa akili hivyo hao wanaodhani atafuata Msimamo wao wasahau.. Wamtazame Askofu Klain ...then ndio waende kwa Dr.Slaa.HE IS NOT THAT CHEAP.HE IS AN INTERNATIONAL FIGURE..Sembuse usalama wa Taifa la Tanzania...??Kwa usalama wa Taifa hili bali Wawalinde Dr.Slaa na E.L. Kwa usalama wa Taifa la Tz. la Baadaye...
 
Habari hii ni kweli..

Na ndio maana kina loose bone/ lizaboni waliandaa mapost yaliyoleta sintofahamu kubwa jamvini
......ccm msijaribu kushindana na wakati tena...wakati si milele...! Na jua limeshawachwea, jiandaeni kwa unyenyekevu kuondoka madarakani na kuwa chama cha upinzani
 
Back
Top Bottom