Muungano wa UK na wa Tanzania

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kipekee sana na inasemakana huu muundo haupo sehemu nyingine duniani, lakini hivi majuzi wakati nasikiliza BBC nakasikia mtu akisema muungano wa England na Scotland ni kama paka na panya. Naomba mwenye kujua muungano wa UK ulivyo anijuze tafadhali, je nao umekaa kimachale kama huu wa Tanzania
 
Back
Top Bottom