Muungano wa Tanzania uvunjike au usivunjike?


Leo Tarehe 26 April, 2020 ni sikukuu ya Muungano, sikukuu hii ndio sikukuu muhimu kuliko hata uhuru kwasababu hii ni siku JMT ilipozaliwa. Lakini kutokana na janga hili la Corona, siku hii inaadhimishwa kimya kimya.
Naawatakia Muungano mwema huku nikisisitiza
Nautakia huu muungano wetu adhimu udumu milele na hivyo kukitokea yoyote anayetaka kuuchokoa muungano, namshauri chokochoko amchokoe pweza, muungano hutauweza kwasababu tutaulinda kwa gharama yoyote.
Nawatakia muungano mwema.
P
 
Kama kuvunja muungano kuna maslahi kwa pande zote mbili basi heri. Lakini otherwise sionj sababu ya kuuvunja.
 
Bara la Africa linafikiria kuwa na sarafu moja na kwingine kuna wajinga wasiojua maana ya muungano wanataka utengano ikiwezekana wanaopenda utengano watupwe bahari ya Hindi
 
Muungano ni kitu kizuri sana ila maridhiano ya pande zote mbili na matakwa yazingatiwe sana ili kusiwe na upande unaoona kuwa unaumizwa
 
Back
Top Bottom