kibaya-kenya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 649
- 165
Bado sipati picha kwa nini wana CCM walazimisha wa z'bar muungano kwa nguvu,hoja ya kusema serikali tatu itavunja muungano ni ni hofu na mashaka ya CCM, ndio maana mafisadi wa ccm juzi walikimbilia kupiga rasmli usiku ili wakatae,ukweli ni kwamba Z'abr ni nchi kamili hatuwezi kutumia mgongo wa muungano kwa nyima wenzetu haki zao ili hali Dunia nzima inajua kwamba muungano lazima uridhiwe na pande mbili wala si kutumia ubabe kama wanavyo fanya ccm, ccm hawa taki serikali 3 kwa sababu ya kisiasa tu,yaani watapoteza madaraka ya kisasa 7babu ya kusema ni gharama na nchi ni maskini ni ya kipuuzi na pia wanaogopa kuimarika kwa CHADEMA HUKU TANGANYIKA AMBAO WAO CDM wana unga mkono serikali 3.Sasa watz mjue 7babu ya ccm kuchakachua yale mabaraza ya katiba ili mambumbu wapitishwe ndio hii ya luona madai ya serikali 3, hata jana mlisikia Vuvusela Nape wa bure akisema chama imeagiza wanachama wake kupitia hiyo rasmi kutoka kwenye ngazi ya wilaya hapa alilenga haya mabaraza ya ccm.
Hoja ya msingi ni ccm kuendeleza uongozi wa kiimla ambao watakuwa waki2mia Z'bar kama kura ya turufu ya kumaliza nguvu ya CDM na vyama vingine vya upinzani, HAPA NAOMBA WATZ TUSIKUBALI RASMU YA CCM, WARIOBA AMETUONYESHA NJIA NI LAZIMA TUKOMAE WOTE, CCM WANATAKA KUANZISHA UTAWALA WA KIFALME KWA KUTUMIA HUU MUUNGANO FEKI WA SIASA ZA FITINA,UWIZI NA UAJI.
PIA WAZ'BAR DAINI HAKI ZENU KUMBUKENI CCM ILIVYO WASALITI MWAKA 1983 KWA KUMVUA JUMBE MADARAKA YA URAIS KISA KUHOJI UHALALI WA MUUNGANO,
VIJANA WA TZ TUWACHENI USHABIKI KWA HILI TUIAMBIE HILI GENGE LA MAJAMBAZI WA CCM KWAMBA YATOSHA.
TUBEBURUZWA VYAKUTOSHA,TUMEPUUZWA VYA KUTOSHA NA MMETUPOTOSHA VYA KUTOSHA WAACHENI WTANGANYIKA NA WA ZANZABARI WAMUE WENYEWE SIO MATAHIRA WA CCM WAMUE MUSTAKABALI WETU.
KUENDELEA KUWA NA CCM NI LAANA KWA VIZAZI VIJAVYO NA VYA SASA.