Muungano wa Tanganyika na Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by STRATON MZEE, Jan 13, 2012.

 1. STRATON MZEE

  STRATON MZEE Member

  #1
  Jan 13, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Wajameni nimekuwa najiuliza jinsi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar unavyotufaidisha sisi wananchi wa Tanzania Bara na Tanzania Visiwani, lakini nashindwa kupata majibu. Mwenye uelewa wa kutosha tunaomba atutajie faida za Muungano kwa Tanzania bara (Tanganyika), na faida za Muungano kwa Tanzania Visiwani (Zanzibar) ili na sisi tupate kufahamu zaidi. Nategemea ushirikiano wenu katika hili.
   
 2. L

  Lukosi george New Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muungano upo kiusalama na ulinzi zaidi
   
Loading...